Mbunge wa CCM acharuka maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania

Katika Uislamu, ushoga (mapenzi ya jinsia moja) unachukuliwa kuwa ni dhambi kubwa, na misimamo ya wanazuoni wa Kiislamu kuhusu suala hili inatokana na Qur'an, Hadith, na Ijma’ (makubaliano ya wanazuoni).

1. Qur'an

Aya zinazotajwa sana ni zile zinazohusiana na kaumu ya Lut, mfano:

Surat Al-A’raf (7:80-81):

2. Hadithi

Kuna hadithi kadhaa zinazohusishwa na adhabu ya ushoga, miongoni mwao ni:

Hadithi iliyopokewa na Ibn Abbas:
“Mtume (s.a.w.) amesema: ‘Yeyote atakayemkuta akifanya kama walivyofanya watu wa Lut, basi muue mhalifu na yule anayefanyiwa.’”
(Imepokewa na Abu Dawood, Tirmidhi, na Ibn Majah – hadithi hii ina mjadala juu ya uhalali wake na daraja yake).

3. Msimamo wa Wanazuoni

Wanazuoni wa fiqh (sheria ya Kiislamu) wamekubaliana kuwa kitendo cha ushoga ni haramu. Kuhusu adhabu yake:

Madhehebu ya Hanbali na Maliki: Wanapendekeza adhabu ya kifo.

Madhehebu ya Hanafi: Hutoa adhabu ya ta’zir (adhabu ya kadhi kulingana na uzito wa kosa).

Shafi’i: Msimamo wa adhabu ya kifo au kufukuzwa kijamii, kutegemeana na ushahidi na mazingira.

UKIRISTO UNASEMAJE KUHUSU USHOGA?
Duh 🙄 !
 
Aisee mpaka umekumbuka, ila usijali ukiwa na nia utafika tu na Mungu akikuongoza pia.
Nipo mbele zaidi mkuu; hakuna hata 'penny' moja iliyotokana na dhuruma.

Kuna mambo ambayo siyo rahisi kuyasahau; pamoja na kwamba kuna upuuzi mwingi sana humu JF.
 
Nimekuelewa vizuri
 
Mbunge wetu alindwe sasa.

Aongezewe ulinzi manake jinsi hawa mawakala na vikaragosi wa Wazungu wanavyocharuka- kuhusu suala la Azimio uchwara la wazungu mabaguzi ya Ulaya, ni lazima alindwe na kama ana ulinzi, aongezewe na kuimarisha

...wameazimia kuleta vurugu na kuanza kupiga yeyote yule wanaopingana nao.

Chungeni vitosi vyenu

Hivi sio vitisho vya rejareja
 
Ikitokea kwa namna yoyote huyo aliyeongea bungeni akaambiwa aombe radhi au aache ubunge ataomba radhi
Pia ikatokea serikali ikakubali suala hilo haohao watasema oooh sijui nani anajali Sheria na haki za binadamu ..... Oooh sijui .... anaupiga mwingi
Mfano mzuri ni wanafunzi wenye ujauzito kurudi shuleni. Enzi za mwendazake waliunga mkono nasasa waliporudishwa ndio haohao wanasema unapigwa mwingi
Wabunge hawaaminiki. Wanaangalia Rais anamsimamo gani ndio waanze kupiga kelele
 
Hat
Katika Uislamu, ushoga (mapenzi ya jinsia moja) unachukuliwa kuwa ni dhambi kubwa, na misimamo ya wanazuoni wa Kiislamu kuhusu suala hili inatokana na Qur'an, Hadith, na Ijma’ (makubaliano ya wanazuoni).

1. Qur'an

Aya zinazotajwa sana ni zile zinazohusiana na kaumu ya Lut, mfano:

Surat Al-A’raf (7:80-81):

2. Hadithi

Kuna hadithi kadhaa zinazohusishwa na adhabu ya ushoga, miongoni mwao ni:

Hadithi iliyopokewa na Ibn Abbas:
“Mtume (s.a.w.) amesema: ‘Yeyote atakayemkuta akifanya kama walivyofanya watu wa Lut, basi muue mhalifu na yule anayefanyiwa.’”
(Imepokewa na Abu Dawood, Tirmidhi, na Ibn Majah – hadithi hii ina mjadala juu ya uhalali wake na daraja yake).

3. Msimamo wa Wanazuoni

Wanazuoni wa fiqh (sheria ya Kiislamu) wamekubaliana kuwa kitendo cha ushoga ni haramu. Kuhusu adhabu yake:

Madhehebu ya Hanbali na Maliki: Wanapendekeza adhabu ya kifo.

Madhehebu ya Hanafi: Hutoa adhabu ya ta’zir (adhabu ya kadhi kulingana na uzito wa kosa).

Shafi’i: Msimamo wa adhabu ya kifo au kufukuzwa kijamii, kutegemeana na ushahidi na mazingira.

UKIRISTO UNASEMAJE KUHUSU USHOGA?
Hatuna neno as far as lutu alianza kwetu kabla hamjamwiba ebu soma hii Surat nisai 21 .wanawake zenu NI konde zenu ziendeeni konde zenu mpendavyo .

Mimi Binafsi najua upinde uanzia na mambo Kama haya .

Male Vs male NI haramu

Male Vs female NI halal.

SASA siku male hakikosa female si anaenda Kwa male mwenzie. Jicho NI jicho tu.
 
Kwani ushoga unakua kati ya mke na mume? Wewe mkiristo wa aina gani unaakili za jongoo?
 
Mbunge wa Biharamulo Eng. Ezra Chiwelesa acharuka na kupinga vikali moja ya maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania huku Mwita Mwikwabe Waitara akitoa msimamo kuwa kama hoja yao ni kutoleta Maji basi watakunywa hata ya Kisima na Chifu wa Kikurya hawezi kuolewa habari ya Ushoga na Kusagana waendelee wao.

Ameona na kusikia hilo tu?
 
Mada ni utekaji +mauaji, wanahamisha goli kwenda ushoga
 
Katika Uislamu, ushoga (mapenzi ya jinsia moja) unachukuliwa kuwa ni dhambi kubwa, na misimamo ya wanazuoni wa Kiislamu kuhusu suala hili inatokana na Qur'an, Hadith, na Ijma’ (makubaliano ya wanazuoni).

1. Qur'an

Aya zinazotajwa sana ni zile zinazohusiana na kaumu ya Lut, mfano:

Surat Al-A’raf (7:80-81):

2. Hadithi

Kuna hadithi kadhaa zinazohusishwa na adhabu ya ushoga, miongoni mwao ni:

Hadithi iliyopokewa na Ibn Abbas:
“Mtume (s.a.w.) amesema: ‘Yeyote atakayemkuta akifanya kama walivyofanya watu wa Lut, basi muue mhalifu na yule anayefanyiwa.’”
(Imepokewa na Abu Dawood, Tirmidhi, na Ibn Majah – hadithi hii ina mjadala juu ya uhalali wake na daraja yake).

3. Msimamo wa Wanazuoni

Wanazuoni wa fiqh (sheria ya Kiislamu) wamekubaliana kuwa kitendo cha ushoga ni haramu. Kuhusu adhabu yake:

Madhehebu ya Hanbali na Maliki: Wanapendekeza adhabu ya kifo.

Madhehebu ya Hanafi: Hutoa adhabu ya ta’zir (adhabu ya kadhi kulingana na uzito wa kosa).

Shafi’i: Msimamo wa adhabu ya kifo au kufukuzwa kijamii, kutegemeana na ushahidi na mazingira.

UKIRISTO UNASEMAJE KUHUSU USHOGA?
Lakini serikali ya CCM inasaport ushoga ndiyo maana Makonda alipopambana na mashoga walimpiga stop na kumkana kuwa hayo ni yake mwenyewe .
 
Attachments

  • FB_IMG_1746803541164.jpg
    FB_IMG_1746803541164.jpg
    26 KB · Views: 14
  • JamiiForums1552944936.jpeg
    JamiiForums1552944936.jpeg
    60 KB · Views: 17
  • FB_IMG_1638511560064.jpg
    FB_IMG_1638511560064.jpg
    24 KB · Views: 14
  • Screenshot_20210126-171647.png
    Screenshot_20210126-171647.png
    435.5 KB · Views: 21
  • Screenshot_20210126-170521.png
    Screenshot_20210126-170521.png
    532 KB · Views: 15
Lakini serikali ya CCM inasaport ushoga ndiyo maana Makonda alipopambana na mashoga walimpiga stop na kumkana kuwa hayo ni yake mwenyewe .
Mbunge wa biharamulo Eng Ezra ni moja ya wabunge wenye michango yenye tija kwa taifa letu, yeye yuko kazini kila saa

USSR
 
Back
Top Bottom