Mbunge wa CCM acharuka maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania

Mbunge wa CCM acharuka maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania

Duuh yaani wanaume waoane?
Wanadai hii habari ya Ulaya kuwaeleza waolewe imewakosea sana heshima na katu hawako tayari kuvumilia lazima wajibu mashambulizi. Hapa tulipo wanatazama Clip ya Mh Waitara Mbunge wa Tarime alipokuwa akisema katu Chief wa Kikurya hawezi kuolewa. Kwahiyo Clip hii ndiyo inayowaongoza katika mjadala huu mkali wa kukataa kuolewa
 
Hii noma,tunaolewaje?!!!
 
Hii noma,tunaolewaje?!!!
Hatari sana pamechangamka sana hapa na Wanawake wameingilia mjadala wanasema walilala lebda na wakachanwa tumbo zao wakati wakujifungua watoto wa kiume kwahiyo hawako tayari ikiwekeza waume zao watembeze kichapo kwa dada Zuu wa mchongo

Hawajaniruhusu kuwarekodi wangeniruhusu mngeona namna gani moto umewaka hapa
 
Kweli tunakoelekea siko kabisa!
 
Wajameni, hali sio shwari katika mtaa wangu wa Goba, fukuto linaloendelea hapa ni baina ya wanaume, hawataki kuoana kulingana na hii haki ya jinsia moja
Kwenye makundi ya Wanaume hasa vijiweni, kumbi za starehe mada kuu ni hii ya jinsia moja sijui katika mitaa yenu hali ikoje huko

Wengine wanasema wana madevu wamefuga tangu walipobalehe leo hii wapapaswe na wenzao vyumbani hili haliwezekani
Wengine wanasema pamoja na kutungisha ujauzito wa watoto wao wa kiume leo hii watoto wale wabemendwe? Hawapo tayari kuona

Wengine wanasema pamoja na kubeba zege leo hii wapakatwe? Wanadai hawataki kupapaswa na wenzao huku dhihaka za baadhi ya wenzao za kuwaeleza kuwa watulie tu wataelekezwa taratibu kuzidi kuchochea hasira na huku wakienda mbali na kusema kitakachotokea mitaani wasilaumiwe

Wanadai wanaweka vikao vyao kuona namna gani watajibu mashambulizi endapo wataendelea kuelezwa habari za kuolewa

Sasa sijajua malalamiko haya yatatatuliwaje ikiwezekana njooni huku mtoe ufafanuzi wajameni madume hawa wasije kuleta maafa ya kuwashughulikia akina dada Zuu wa mchongo manake kumechangamka sana

Wanadai hii habari ya Ulaya kuwaeleza waolewe imewakosea sana heshima na katu hawako tayari kuvumilia lazima wajibu mashambulizi. Hapa tulipo wanatazama Clip ya Mh Waitara Mbunge wa Tarime alipokuwa akisema katu Chief wa Kikurya hawezi kuolewa. Kwahiyo Clip hii ndiyo inayowaongoza katika mjadala huu mkali wa kukataa kuolewa

Pamechangamka sana hapa na Wanawake wameingilia mjadala wanasema walilala leba na wakachanwa tumbo zao wakati wakujifungua watoto wa kiume kwahiyo hawako tayari ikiwekeza waume zao watembeze kichapo kwa dada Zuu wa mchongo

Hawajaniruhusu kuwarekodi wangeniruhusu mngeona namna gani moto umewaka hapa

View attachment 3328629
Wapi bunge la ulaya wametulazimisha tuoane??🎤👂
Waitara anatulazimisha tujadili uongo🙄😇🤪
 
CCM imeshikwa pabaya,wameona hili ndio bango, wakati yameongelewa Mengi!
Aende mahakama ya mbuzi vingunguti akashuhudie mbuzi wanavyo firana!
Wamefundishwa na wazungu?
******* wapo Toka kaumu luti Hadi dahari....
 
Unapojidhalilisha na kujidharau mwenyewe, unataka wengine wafanye nini? Ni lazima wakudharau tu.

Unataka uheshimiwe kwa kuwafanyia wananchi wako uovu?
 
Majibu ya kimasikini haya
Eti wasipoleta hela za maji mtakunywa hata ya kisima
Badala ya kupambana eti majibu ndio haya ya wasomi
Kweli leo maji yote hayo mnasubiri mzungu awasaidie kama wagonjwa?

Uanaume ni kuwalima barua na kusema kateni misaada yote
( Thubutu)
Hypothetically:
Tuseme , mama na serikali yake (Baraza la Mawaziri) wafanye mkutano; waadhimie kwamba:
1. Toka leo hii hawataki kusikia manung'uniko na kelele za wananchi kufanyiwa uovu, kama vile kutekwa, kubambikiwa kesi; n.k., , n.k..
2. Mahakama na sheria zitatuika kuwapa wananchi HAKI zao, kimsingi. Wanataka mahakama zifanye kazi bila kuonea na kwa wakati.
3. Vyama vyote vya siasa, bila kujali uzito wa chama chochote; viwe huru kufanya kazi zao za kisiasa

4. Huduma zote kwa wananchi, zzilizomo ndani ya uwezo wa serikali ni lazima serikali izifanye kwa ufanisi kwa kutumia nyenzo zetu tukizo nazo sisi wenyewe. Pesa zote zinazoelekezwa kwa miradi hiyo ni lazima itumike kufanya kazi kama ilivyopangwa. Wafanya kazi ngazi zote watawajibika kwa nafasi zao kila mahali walipo.
Hakutakuwepo tena na utegemezi wa misaada toka nje kutimiza malengo ya miradi hii.

5. Na mengi mengine ya namna hiyo.

Na serikali ikajipanga kwelikweli kutimiza maazimio hayo.

Rais Samia akaondoka ofisini, na kuhamia mitaani/vijijini/mijini,wilyani, mikoani, na kote kuhimiza utekelezaji wa maamuzi hayo. Mawaziri..., waziri gani atakaa ofisini wakati mwajili wake kila siku yupo field.

Nchi hii kweli itashindwa kuendelea, kwa sababu tu hatupati misaada?
Sisemi kamwe kuwa hatutahitaji misaada kwenye baadhi ya maeneo, lakini misaada hiyo itakuwa ni kuunga tu juhudi tunazofanya sisi wenyewe.

Na ikitokea hivyo, kama kimuujiza vile: Rais Samia Hassan Suluhu; Jina lake litaandikwa kwa wino wa dhahabu katika historia ya Tanzania.

Dah. Ni kama ndoto mbaya sana ninayo iota mimi, kutokea kwa uongozi huu tulio nao sasa.
 
SAsa kuna kipi hapo cha uongo mzee mbona unakua huna akilinya kukubali ukweli??
siyo dhalau tu bali ni uzalilishaji uliyopitiliza kwa taifa na watanzania kwa ujumla.kumbe hawataki tuzaliane kwa wingi,

wanasingizia eti hali za afya za watanzania ni mbaya,
kwan huu ni uongo mzee?
wanasingizia wizara ya afya kuwa imeiba hela za misada
sasa hapa kwan wamedanganya? Mnona serikali inaiba sana pesa za misaada
, eti sisi ni maskini wa kutupwa.
Sasa ushasema hapo juu MISAADA. tajair huwa anasaidiwa. Ni masikini wa kutupwa huo ndio uhalisia
pumbafu kabisa
Angalia usije ukawa wewe ndio mpumbavu hapa!.
 
Hypothetically:
Tuseme , mama na serikali yake (Baraza la Mawaziri) wafanye mkutano; waadhimie kwamba:
1. Toka leo hii hawataki kusikia manung'uniko na kelele za wananchi kufanyiwa uovu, kama vile kutekwa, kubambikiwa kesi; n.k., , n.k..
2. Mahakama na sheria zitatuika kuwapa wananchi HAKI zao, kimsingi. Wanataka mahakama zifanye kazi bila kuonea na kwa wakati.
3. Vyama vyote vya siasa, bila kujali uzito wa chama chochote; viwe huru kufanya kazi zao za kisiasa

4. Huduma zote kwa wananchi, zzilizomo ndani ya uwezo wa serikali ni lazima serikali izifanye kwa ufanisi kwa kutumia nyenzo zetu tukizo nazo sisi wenyewe. Pesa zote zinazoelekezwa kwa miradi hiyo ni lazima itumike kufanya kazi kama ilivyopangwa. Wafanya kazi ngazi zote watawajibika kwa nafasi zao kila mahali walipo.
Hakutakuwepo tena na utegemezi wa misaada toka nje kutimiza malengo ya miradi hii.

5. Na mengi mengine ya namna hiyo.

Na serikali ikajipanga kwelikweli kutimiza maazimio hayo.

Rais Samia akaondoka ofisini, na kuhamia mitaani/vijijini/mijini,wilyani, mikoani, na kote kuhimiza utekelezaji wa maamuzi hayo. Mawaziri..., waziri gani atakaa ofisini wakati mwajili wake kila siku yupo field.

Nchi hii kweli itashindwa kuendelea, kwa sababu tu hatupati misaada?
Sisemi kamwe kuwa hatutahitaji misaada kwenye baadhi ya maeneo, lakini misaada hiyo itakuwa ni kuunga tu juhudi tunazofanya sisi wenyewe.

Na ikitokea hivyo, kama kimuujiza vile: Rais Samia Hassan Suluhu; Jina lake litaandikwa kwa wino wa dhahabu katika historia ya Tanzania.

Dah. Ni kama ndoto mbaya sana ninayo iota mimi, kutokea kwa uongozi huu tulio nao sasa.
Miaka zaidi ya 60 bado ombaomba
Unadhani nani wa kukemea kama hizo zenyewe wanakula wachache
Mama mwenyewe alishasema kuleni kiasi, maana anajua hela zinapigwa haswa

Amka kumekucha twende tukapambane
 
Miaka zaidi ya 60 bado ombaomba
Unadhani nani wa kukemea kama hizo zenyewe wanakula wachache
Mama mwenyewe alishasema kuleni kiasi, maana anajua hela zinapigwa haswa

Amka kumekucha twende tukapambane
Tukapambane?
Wapi, vipi!

Au una maana ya jinsi ya kuingia kwenye 'uchawa'?
 
Haya yote yameletwa na wao wenyewe CCM na wala wasijifanye wakali, wao ndo wameingia mikataba ya kifisadi imewapa wazungu nguvu ya kutunyonya na kutumiliki wakati siye kwa rasilimali zetu tungeweza wenyewe kufanya yote bila kutegemea misaada yenye masharti ya kulana uani...

Chadema nao wanafki tu, wakati Magufuli anapigana kuvunja mikataba mlikuwa mnachekelea ndege zilizokuwa zinakamatwa na hao wazungu, mpaka mkasema tutashindwa kuendesha nchi kwa kukosa misaada ya nje.. Kwahiyo hata nyie fikra zenu bado zipo kwenye kuwa omba omba... na hata sasa hivi mnakusanya saini za wananchi ili mkashitaki kwa hawa hawa wanaotaka tulane tiGO... Shame on u..

Wanasiasa ni wale wale, this country needs a new movement siyo ya hawa wachumia tumbo.
 
Atasema babako mh eng Ezra Chiwelesa ni akili kubwa huwezi kulinganisha na yeyote pale chadema

USSR
Daah!!
Huyo Ezra tofauti yake na Tale Tale, Mengele na Mafufu ni majina na hiyo "eng" pekee.
Kichwani wote ni sawasawa.
Zero.
 
Kivyetu maana za misaada zinapigwa na viongozi.
Sisi tuangalie mengine
Uchawa hapana ni kama umelogwa
Nilitaka kunyamaza na kuondoka. Lakini, aaaah! Nimekumbuka ile $35K; bila shaka itakuwa imeongezeka mara dufu sana wakati huu!
Huko ndiko kupambana; lakini kwa bahati mbaya sana kwa wengi wa wananchi wetu; mapambano ya aina hiyo wengi wetu ni ndoto za kijinamizi kabisa.
Wengi wetu tungekuwa tumefikia hatua kama hiyo, sote tungewasumbua sana hawa waheshimiwa wanaofagia misaada toka nje.
 
Aisee mpaka umekumbuka, ila usijali ukiwa na nia utafika tu na Mungu akikuongoza pia.

Nchi zinazojiita masikini huku zikiwa tajiri kijiografia huwa zina unafiki mwingi sana.
Uwezo wa kujiendeleza upo ila kwa kuwa wamezoea kupata vya bure basi

Unadhani kwanini hawataki kuweka miji safi?
Kwanini kila mwaka mvua zikinyesha hali ni ile ile tu ya mafuriko

Unadhani ni bahati mbaya?
Hapana sio bahati mbaya wala kushindwa kupata wakandarasi wa kutengeneza miundombinu mizuri.
Bali ndio njia za kuombea misaada kila wakati
Kweli nyie wa kukosa maji salama?

Mbona miaka ya 70 kila mtaa kulikuwa na mabomba ya maji tena bure kwa jamii?
Ila ukivuta nyumbani una mita na unalipia kiasi?

Yote haya wanaweza ila mirija itakatwa na kuwekwa kwenye kundi la wanaojiweza
Think 🤔 about it
 
Back
Top Bottom