Mbunge wa CCM acharuka maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania

Mbunge wa CCM acharuka maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania

Naona wanaanza kuhamisha hoja ili kupata uungwaji mkono.

Tuache kuishi maisha ya uongouongo, tujikite kwenye uhalisia wa mambo na ukweli wake.
Tujifunze kuweka akili kwenye kutatua tatizo na sio kutumia propaganda hata kwenye mambo muhimu yenye maslahi mapana ya nchi.

Sidhani kama huwa tunafanya risk analysis kabla ya kuchukua maamuzi yetu, yaani kutetea ujinga wa kumuweka Lissu ndani ndio tunataka kuharibu taswira ya nchi kimataifa.

Yaani kwetu tuhuma za uongo dhidi ya Lissu ni muhimu kuliko maisha na maslahi ya Watanzania zaidi ya 60mil.
 
Kama hatuna majibu mazuri kwa isdue hii bora tukae kimya kama taifa. Maana kwa mtazamo huu viongozi watapromote ushoga na usagaji bila wao kujua.
Maana sidhani hata hao wazungu tunaowaita mashoga wameliaddress hilo neno kwenye azimio lao.
 
EU inaihitaji Tanzania kuliko Tanzania inavyoihitaji EU. Watulie... nchi iko salama chini ya uongozi wa Mama Samia
Malawi tu mmebana siku 2 na mmeachia, itakuwa hizo nchi hakuna nchi africa inaweza kuzivimbia nchi za ulaya
 
Vikwazo vianzie kwake
Mkuu, haya ndiyo matumizi mabaya ya taaluma za watu ; yaani Mhandisi kabisaa una omba Ubunge, ambao qualification zake ni kujua kusoma na kuandika; halafu unaingia bungeni, ambako kwenye vikao unarekebishwa na hao wa kujua kusoma na kuandika! kweli?
 
Hawa wabunge wanaongelea ushoga wakati Bunge la Ulaya hawakuongelea ushoga, watakuwa ni mashoga, maana bila hilo neno kutumika na Bunge la Ulaya, lakini wao wanaona uwepo wa jambo Hiloa. Yaani Mkuu TISS iwashauri kama sio kuwapa onyo kali wasilitumie hilo neno kwenye majukwaa ya kijamii kma weapons ya kujilinda. Vinginevyo watautangaza ushoga kwa nguvu bila kujua.
Maana hawachelewi, kama walivyokuwa wakisema Lowasa anajinyea wakamdharirisha mzee wa watu.
 
siyo dhalau tu bali ni uzalilishaji uliyopitiliza kwa taifa na watanzania kwa ujumla.kumbe hawataki tuzaliane kwa wingi,wanasingizia eti hali za afya za watanzania ni mbaya, wanasingizia wizara ya afya kuwa imeiba hela za misada, eti sisi ni maskini wa kutupwa.
pumbafu kabisa

whereas Tanzania 2025 population is estimated at 70,545,865 people at mid-year and is expected to grow to roughly 130 million people by 2050; whereas in 2025, 25.2 million Tanzanians live on a maximum of 1.90 US dollar per day;

F. whereas the EU supports Tanzania’s development through the Global Europe Multi-annual Indicative Programme 2021-2027 with EUR 726 million; whereas EU Member States bilateral support to Tanzania was approximately EUR 1.2 billion for 2021-2024;

1. Is concerned about the arrest of Tundu Lissu alongside the disqualification of the Chadema party from the 2025 elections;

2. Calls on the Tanzanian authorities to ensure that those responsible for politically motivated disappearances and murders are brought to justice;

3. Fully respects the collective preferences of the Tanzanian people and the internal electoral process of Tanzania, which must reflect the will of its people;

4. Encourages all political parties to contest the upcoming elections; encourages the ruling Chama Cha Mapinduzi party to hold talks with all of the opposition parties over their demands; is of the opinion that the release of Tundu Lissu would give a boost to these talks;

5. Calls on the African Union to engage with the Tanzanian government to find a solution;

6. Notes that EU development aid has only had a very limited effect as exemplified by Tanzania’s deepening health crisis, fuelled by the persisting brain drain of health care professionals;

7. Is worried that the persisting high poverty levels, combined with the very high population growth, will lead to mass emigration;
Mnaweza kutuwekea nukuu ya mjadara wa bunge la ulaya hasa pale walipo tutaka tufanye mambo ya kishoga?
Katika Uislamu, ushoga (mapenzi ya jinsia moja) unachukuliwa kuwa ni dhambi kubwa, na misimamo ya wanazuoni wa Kiislamu kuhusu suala hili inatokana na Qur'an, Hadith, na Ijma’ (makubaliano ya wanazuoni).

1. Qur'an

Aya zinazotajwa sana ni zile zinazohusiana na kaumu ya Lut, mfano:

Surat Al-A’raf (7:80-81):





2. Hadithi

Kuna hadithi kadhaa zinazohusishwa na adhabu ya ushoga, miongoni mwao ni:

Hadithi iliyopokewa na Ibn Abbas:
“Mtume (s.a.w.) amesema: ‘Yeyote atakayemkuta akifanya kama walivyofanya watu wa Lut, basi muue mhalifu na yule anayefanyiwa.’”
(Imepokewa na Abu Dawood, Tirmidhi, na Ibn Majah – hadithi hii ina mjadala juu ya uhalali wake na daraja yake).


3. Msimamo wa Wanazuoni

Wanazuoni wa fiqh (sheria ya Kiislamu) wamekubaliana kuwa kitendo cha ushoga ni haramu. Kuhusu adhabu yake:

Madhehebu ya Hanbali na Maliki: Wanapendekeza adhabu ya kifo.

Madhehebu ya Hanafi: Hutoa adhabu ya ta’zir (adhabu ya kadhi kulingana na uzito wa kosa).

Shafi’i: Msimamo wa adhabu ya kifo au kufukuzwa kijamii, kutegemeana na ushahidi na mazingira.

UKIRISTO UNASEMAJE KUHUSU USHOGA?
Nukuu ya huyo mbunge aliye sisitiza sisi kua mashoga tafadhari.

Anyway, Uislamu unasemaje pale mtu anapo onewa, kuteswa na hata kuuawa na kuua watu wasiokua na hatia? Tusibadiri topic kwa kivuli cha dini, hapa tutakua tunafanya unafiki, unafiki ni dhambi mbaya zaidi ya ushoga. Ushoga (kwa mujibu wa Biblia ) Mungu aliteketeza miji kadhaa but hakifanya ghafla, aliwavumilia ili kuona kama watabadirika, akatuma na malaika zake, lakini unafiki Mungu alikua anaua wanafiki instantly. Wengi mnao nukuu Quran mna pretend sana, mnajifanya mnachukia ushoga wa ulaya halafu mpo kimya kabisa kwa ushoga unaofanyika hapa hapa Tanzania tena uki involve watu wenye majina ya mashariki ya kati na wanajulikana vizuri. Huo nao pia ni unafiki, unafiki no tabia za kishetani, tuukatae
 
Mbunge wa Biharamulo Eng. Ezra Chiwelesa acharuka na kupinga vikali moja ya maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania huku Mwita Mwikwabe Waitara akitoa msimamo kuwa kama hoja yao ni kutoleta Maji basi watakunywa hata ya Kisima na Chifu wa Kikurya hawezi kuolewa habari ya Ushoga na Kusagana waendelee wao.

Watawala wa nchi yako ndio waliosaini masharti na EU ili wapewe misaada awaulize
The European Parliament,

– having regard to its previous resolutions on Tanzania

– having regard to Rule 150 of its Rules of Procedure,

A. whereas on 9 April 2025, Tanzanian police arrested Tundu Lissu, chairperson of the main opposition party Chadema; whereas during the arrest, police used excessive force and violence to disperse the surrounding supporters;

B. whereas following the arrest, police charged Lissu with three offences, including the capital offence of treason, in relation to social media posts calling to boycott the forthcoming elections as part the demand for electoral reforms; whereas human rights organisations consider these charges fabricated and the trial politically motivated;

C. whereas Amnesty International documented that on 24 April 2025 police beat up and arrested dozens of people who tried to access the court of Lissu’s case hearing, reportedly leading to the death of one person;

D. whereas Tanzania is slated to have parliamentary elections in October 2025; whereas the ruling Chama cha Mapinduzi has retained power for over 60 years;

E. whereas Tanzania’s ranking in Freedom Houses’ Freedom index was downgraded in 2025 from “partly free” to “not free”; whereas in 2024 UN human rights experts have called on Tanzania to end the ongoing and escalating pattern of human rights violations against opposition political party members, civil society organizations, journalists, Indigenous Peoples and human rights defenders;

1. Calls for the immediate and unconditional release of Tundu Lissu and urges the Tanzanian government to end all arbitrary arrests and attacks against opposition leaders and government critics ahead of the October 2025 general elections;

2. Calls for a thorough, independent, and impartial investigation into the recent disappearances of government critics and opposition supporters as well as any other allegations of police abuse and misconduct, to ensure that those responsible are to be brought to justice in fair trials without recourse to the death penalty;

3. Expresses its concerns regarding human rights violations by law enforcement officials, including frequent allegations of unlawful use of force and other human rights violations in the policing of political assemblies; stresses the universality of the freedom of assembly and expression, and urges the Tanzanian authorities to cease the crackdown on peaceful gatherings and the repression of non-governmental organizations; condemns attacks against journalists and human rights defenders in the country and call for an end to any state-sponsored violence against them;

4. Urges Tanzania to establish a moratorium on executions with a view to abolishing the death penalty and commuting all death sentences;

5. Calls on the EU and Member States to step up engagement with the Tanzanian authorities on Lissu’s case and on the other urgent human rights concerns listed above, including in the context of further EU investments in the country; calls on EU and Member States’ delegations to ensure trial observation in the case of Lissu and all others arbitrarily detained;

6. Instructs its President to forward this resolution to the VP/HR, the Council, the Commission, the governments and parliaments of the Member States, and the President and Parliament of Tanzania.
 
siyo dhalau tu bali ni uzalilishaji uliyopitiliza kwa taifa na watanzania kwa ujumla.kumbe hawataki tuzaliane kwa wingi,wanasingizia eti hali za afya za watanzania ni mbaya, wanasingizia wizara ya afya kuwa imeiba hela za misada, eti sisi ni maskini wa kutupwa.
pumbafu kabisa

whereas Tanzania 2025 population is estimated at 70,545,865 people at mid-year and is expected to grow to roughly 130 million people by 2050; whereas in 2025, 25.2 million Tanzanians live on a maximum of 1.90 US dollar per day;

F. whereas the EU supports Tanzania’s development through the Global Europe Multi-annual Indicative Programme 2021-2027 with EUR 726 million; whereas EU Member States bilateral support to Tanzania was approximately EUR 1.2 billion for 2021-2024;

1. Is concerned about the arrest of Tundu Lissu alongside the disqualification of the Chadema party from the 2025 elections;

2. Calls on the Tanzanian authorities to ensure that those responsible for politically motivated disappearances and murders are brought to justice;

3. Fully respects the collective preferences of the Tanzanian people and the internal electoral process of Tanzania, which must reflect the will of its people;

4. Encourages all political parties to contest the upcoming elections; encourages the ruling Chama Cha Mapinduzi party to hold talks with all of the opposition parties over their demands; is of the opinion that the release of Tundu Lissu would give a boost to these talks;

5. Calls on the African Union to engage with the Tanzanian government to find a solution;

6. Notes that EU development aid has only had a very limited effect as exemplified by Tanzania’s deepening health crisis, fuelled by the persisting brain drain of health care professionals;

7. Is worried that the persisting high poverty levels, combined with the very high population growth, will lead to mass emigration;
1746723710993.png

Rule 150: Debates on cases of breaches of human rights, democracy, and the rule of law
1. A committee, an interparliamentary delegation, a political group or members reaching at least the low threshold may ask the president in writing for a debate to be held on an urgent case of a breach of human rights, democracy, and the rule of law.
2. The Conference of Presidents shall draw up a list of subjects to be included in the final draft agenda for the next debate on cases of breaches of human rights, democracy, and the rule of law based on the requests referred to in paragraph 1 and by the provisions of Annex IV. The total number of subjects included in the agenda shall not exceed three, including sub-chapters.
By Rule 164, Parliament may abandon a topic due to be debated and replace it with an unscheduled topic. Motions for resolutions on the subjects chosen may be tabled by a committee, a political group or members reaching at least the low threshold by the evening of the day on which the agenda is adopted. The President shall set the precise deadline for tabling such motions for resolutions.
3. The total speaking time for the political groups and non-attached members shall be allocated by the procedure laid down in Rule 178(5) and (6), up to a maximum time for debates of 60 minutes per part-session.
Any time remaining after the time required to introduce the motions for resolutions and any speaking time allocated to the Commission and Council has been deducted shall be divided among the political groups and the non-attached members.

4. At the end of the debate, there shall be an immediate vote. Rule 201, concerning explanations of vote, shall not apply.
Votes taken under this Rule may be organised on a collective basis under the responsibility of the President and the Conference of Presidents.
5. If two or more motions for resolutions are tabled on the same subject, the procedure set out in Rule 136(4) and (5) shall apply.
6. The President and the Chairs of the political groups may decide that a motion for a resolution is to be put to the vote without debate. Such a decision shall require the unanimous agreement of all the Chairs of the political groups.
 
Hili bunge kama la wendawazimu, likisikia ishu za Simba na yanga wamo, wakisikia ishu za TikTok wamo, ni kama vile hawana ajenda limekuwa kama genge la walevi. Wasisikie kitu wao ni humu tu[emoji23]
Ila wakisikia mtu katekwa, wanakaa kimyaa Kama hamna kilichotokea

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mbunge wa Biharamulo Eng. Ezra Chiwelesa acharuka na kupinga vikali moja ya maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania huku Mwita Mwikwabe Waitara akitoa msimamo kuwa kama hoja yao ni kutoleta Maji basi watakunywa hata ya Kisima na Chifu wa Kikurya hawezi kuolewa habari ya Ushoga na Kusagana waendelee wao.

Mna jidharaukisha wenyewe. Huku mkiwa na lichafua Taifa. Wao hawakurupuki kama nyie. Hutafuta facts ndipo huongea. Hivi ni kweli Lissu hayuko mahabusu? Hivi ni uongo Lissu haja bambikiziwa kesi ya uhaini? Hivi ni uongo Chadema haija zuiwa kwenye uchaguzi mkuu? Acheni kujifanya hamnazo..
 
Wajameni, hali sio shwari katika mtaa wangu wa Goba, fukuto linaloendelea hapa ni baina ya wanaume, hawataki kuoana kulingana na hii haki ya jinsia moja
Kwenye makundi ya Wanaume hasa vijiweni, kumbi za starehe mada kuu ni hii ya jinsia moja sijui katika mitaa yenu hali ikoje huko

Wengine wanasema wana madevu wamefuga tangu walipobalehe leo hii wapapaswe na wenzao vyumbani hili haliwezekani
Wengine wanasema pamoja na kutungisha ujauzito wa watoto wao wa kiume leo hii watoto wale wabemendwe? Hawapo tayari kuona

Wengine wanasema pamoja na kubeba zege leo hii wapakatwe? Wanadai hawataki kupapaswa na wenzao huku dhihaka za baadhi ya wenzao za kuwaeleza kuwa watulie tu wataelekezwa taratibu kuzidi kuchochea hasira na huku wakienda mbali na kusema kitakachotokea mitaani wasilaumiwe

Wanadai wanaweka vikao vyao kuona namna gani watajibu mashambulizi endapo wataendelea kuelezwa habari za kuolewa

Sasa sijajua malalamiko haya yatatatuliwaje ikiwezekana njooni huku mtoe ufafanuzi wajameni madume hawa wasije kuleta maafa ya kuwashughulikia akina dada Zuu wa mchongo manake kumechangamka sana

Wanadai hii habari ya Ulaya kuwaeleza waolewe imewakosea sana heshima na katu hawako tayari kuvumilia lazima wajibu mashambulizi. Hapa tulipo wanatazama Clip ya Mh Waitara Mbunge wa Tarime alipokuwa akisema katu Chief wa Kikurya hawezi kuolewa. Kwahiyo Clip hii ndiyo inayowaongoza katika mjadala huu mkali wa kukataa kuolewa

Pamechangamka sana hapa na Wanawake wameingilia mjadala wanasema walilala leba na wakachanwa tumbo zao wakati wakujifungua watoto wa kiume kwahiyo hawako tayari ikiwekeza waume zao watembeze kichapo kwa dada Zuu wa mchongo

Hawajaniruhusu kuwarekodi wangeniruhusu mngeona namna gani moto umewaka hapa

 
Back
Top Bottom