Mbunge wa CCM acharuka maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania

Mbunge wa CCM acharuka maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania

ULaya hawapo tayari kushirikiana na wauaji na watekaji wa raia wao. Bawa wauaji wakileta kiburi, Ulaya wafanye ifuatavyi:

1. Wapige marufuku viongozi wote wakuu na wabunge aa Tanzania kukanyaga nchi yoyote i ayoheshimu haki za binadamu na demokrasia.

2. Marufuku kupata msaada wowote toka Jumuia ya Ulaya na nchi zote marafiki wa Ulaya.

3. Marufuku kuchukua mkopo wowote kutoka taasisi za kimataifa

4. Waweke kikosi maalum bahari ya Hindi kwaajili ya kuwaokoa waliotekwa

Wakifanya hivyo, miezi 6 tu, hawa wauaji watabadilika
 
Katika Uislamu, ushoga (mapenzi ya jinsia moja) unachukuliwa kuwa ni dhambi kubwa, na misimamo ya wanazuoni wa Kiislamu kuhusu suala hili inatokana na Qur'an, Hadith, na Ijma’ (makubaliano ya wanazuoni).

1. Qur'an

Aya zinazotajwa sana ni zile zinazohusiana na kaumu ya Lut, mfano:

Surat Al-A’raf (7:80-81):





2. Hadithi

Kuna hadithi kadhaa zinazohusishwa na adhabu ya ushoga, miongoni mwao ni:

Hadithi iliyopokewa na Ibn Abbas:
“Mtume (s.a.w.) amesema: ‘Yeyote atakayemkuta akifanya kama walivyofanya watu wa Lut, basi muue mhalifu na yule anayefanyiwa.’”
(Imepokewa na Abu Dawood, Tirmidhi, na Ibn Majah – hadithi hii ina mjadala juu ya uhalali wake na daraja yake).


3. Msimamo wa Wanazuoni

Wanazuoni wa fiqh (sheria ya Kiislamu) wamekubaliana kuwa kitendo cha ushoga ni haramu. Kuhusu adhabu yake:
afande Rama wa Zanzibar aliyeonyesha ufundi wa kukatikia ub00 mahakama ya kiislamu kule ilisema hana hatia.
 
Katika Uislamu, ushoga (mapenzi ya jinsia moja) unachukuliwa kuwa ni dhambi kubwa, na misimamo ya wanazuoni wa Kiislamu kuhusu suala hili inatokana na Qur'an, Hadith, na Ijma’ (makubaliano ya wanazuoni).

1. Qur'an

Aya zinazotajwa sana ni zile zinazohusiana na kaumu ya Lut, mfano:

Surat Al-A’raf (7:80-81):





2. Hadithi

Kuna hadithi kadhaa zinazohusishwa na adhabu ya ushoga, miongoni mwao ni:

Hadithi iliyopokewa na Ibn Abbas:
“Mtume (s.a.w.) amesema: ‘Yeyote atakayemkuta akifanya kama walivyofanya watu wa Lut, basi muue mhalifu na yule anayefanyiwa.’”
(Imepokewa na Abu Dawood, Tirmidhi, na Ibn Majah – hadithi hii ina mjadala juu ya uhalali wake na daraja yake).


3. Msimamo wa Wanazuoni

Wanazuoni wa fiqh (sheria ya Kiislamu) wamekubaliana kuwa kitendo cha ushoga ni haramu. Kuhusu adhabu yake:

Madhehebu ya Hanbali na Maliki: Wanapendekeza adhabu ya kifo.

Madhehebu ya Hanafi: Hutoa adhabu ya ta’zir (adhabu ya kadhi kulingana na uzito wa kosa).

Shafi’i: Msimamo wa adhabu ya kifo au kufukuzwa kijamii, kutegemeana na ushahidi na mazingira.

UKIRISTO UNASEMAJE KUHUSU USHOGA?
Katika Ukristo

Mtume Paulo anafundisha kuwa matendo hayo ya ushoga na usagaji ni matokeo ya wanadamu kumkataa Mungu na kuchagua kuabudu masanamu

soma Warumi 1: 21 - 27
21 kwa sababu, walipomjua Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza. 22 Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika; 23 wakaubadili utukufu wa Mungu asiye na uharibifu kwa mfano wa sura ya binadamu aliye na uharibifu, na ya ndege, na ya wanyama, na ya vitambaavyo. 24 Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao. 25 Kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya Muumba anayehimidiwa milele. Amina. 26 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili; 27wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.

Mtume Paulo pia anafundisha kuwa matendo hayo ni dhambi mbele ya mwenyezi Mungu na siku ya hukumu wale waliochagua kudumu kwenye matendo hayo ndio hivyo tena.

soma 1 Kor 6 : 9 - 10
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, 10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.

Katekisimu kubwa ya kanisa katoliki inafundisha kuwa matendo hayo ya ushoga na usagaji hayapaswi kukubalika kwa namna yoyote ile

soma Katekisimu Kubwa ya Kanisa Katoliki 2357
2357 Homosexuality refers to relations between men or between women who experience an exclusive or predominant sexual attraction toward persons of the same sex. It has taken a great variety of forms through the centuries and in different cultures. It psychological genesis remains largely unexplained. Basing itself on Sacred Scripture, which presents homosexual acts as acts of grave depravity (Cf. Genesis 19:1-29; Romans 1:24-27; 1 Corinthians 6:10; 1 Timothy 1:10), tradition has always declared that “homosexual acts are intrinsically disordered.” (Congregation for the Doctrine of the Faith, Persona humana, 8). They are contrary to the natural law. They close the sexual act to the gift of life. They do not proceed from a genuine affective and sexual complementarity. Under no circumstances can they be approved.
 
Mbunge wa Biharamulo Eng. Ezra Chiwelesa acharuka na kupinga vikali moja ya maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania huku Mwita Mwikwabe Waitara akitoa msimamo kuwa kama hoja yao ni kutoleta Maji basi watakunywa hata ya Kisima na Chifu wa Kikurya hawezi kuolewa habari ya Ushoga na Kusagana waendelee wao.

Hawa ndio wana wapotosha Dada Zetu.
 
Mbunge wa Biharamulo Eng. Ezra Chiwelesa acharuka na kupinga vikali moja ya maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania huku Mwita Mwikwabe Waitara akitoa msimamo kuwa kama hoja yao ni kutoleta Maji basi watakunywa hata ya Kisima na Chifu wa Kikurya hawezi kuolewa habari ya Ushoga na Kusagana waendelee wao.

Hawa wabunge wanaongelea ushoga wakati Bunge la Ulaya hawakuongelea ushoga, watakuwa ni mashoga, maana bila hilo neno kutumika na Bunge la Ulaya, lakini wao wanaona uwepo wa jambo Hilo
 
Back
Top Bottom