Mbunge wa CCM acharuka maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania

Mbunge wa CCM acharuka maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania

siyo dhalau tu bali ni uzalilishaji uliyopitiliza kwa taifa na watanzania kwa ujumla.kumbe hawataki tuzaliane kwa wingi,wanasingizia eti hali za afya za watanzania ni mbaya, wanasingizia wizara ya afya kuwa imeiba hela za misada, eti sisi ni maskini wa kutupwa.
pumbafu kabisa




whereas Tanzania 2025 population is estimated at 70,545,865 people at mid-year and is expected to grow to roughly 130 million people by 2050; whereas in 2025, 25.2 million Tanzanians live on a maximum of 1.90 US dollar per day;


F. whereas the EU supports Tanzania’s development through the Global Europe Multi-annual Indicative Programme 2021-2027 with EUR 726 million; whereas EU Member States bilateral support to Tanzania was approximately EUR 1.2 billion for 2021-2024;


1. Is concerned about the arrest of Tundu Lissu alongside the disqualification of the Chadema party from the 2025 elections;


2. Calls on the Tanzanian authorities to ensure that those responsible for politically motivated disappearances and murders are brought to justice;


3. Fully respects the collective preferences of the Tanzanian people and the internal electoral process of Tanzania, which must reflect the will of its people;


4. Encourages all political parties to contest the upcoming elections; encourages the ruling Chama Cha Mapinduzi party to hold talks with all of the opposition parties over their demands; is of the opinion that the release of Tundu Lissu would give a boost to these talks;


5. Calls on the African Union to engage with the Tanzanian government to find a solution;


6. Notes that EU development aid has only had a very limited effect as exemplified by Tanzania’s deepening health crisis, fuelled by the persisting brain drain of health care professionals;


7. Is worried that the persisting high poverty levels, combined with the very high population growth, will lead to mass emigration;
No. 1 hadi 7 kuna sehemu Ushoga imetajwa?
 
Nimependa mnunge mmoja wa bunge la ulya ni mama anamsliza kutoa hoja yake kwa kusema " tundu lisu you are not alone"
 
Bunge la Ulaya limeongelea hadi mauaji ya Marehemu Mzee Ally Kibao lakini hii Rubber Stamp ilikuwa kimya tu watu wanatekwa viongozi wa dini wanapigwa watu wanauwawa.

kibao.jpg
 
Hata angechafukwa kiasi gani,tayari Bunge la ulaya linangoja utekelezaji kabla halijasimamisha misaada!
Harafu huyo Mlevi kwa kujiweka kimbelembele sasa!
 
Hata angechafukwa kiasi gani,tayari Bunge la ulaya linangoja utekelezaji kabla halijasimamisha misaada!
Harafu huyo Mlevi kwa kujiweka kimbelembele sasa!
Je nikweli waliongea habari ya kupigana miti? Manake jana sikumalizia kuwasikiliza
 
Tatizo la bunge letu wanadandia sana ajenda, utadhani hawana ratiba yao. Wao mameshindwa watulie tu....bungeni wamebaki vilaza tupu...kujadili mpira tu
 
Mbunge wa Biharamulo Eng. Ezra Chiwelesa acharuka na kupinga vikali moja ya maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania huku Mwita Mwikwabe Waitara akitoa msimamo kuwa kama hoja yao ni kutoleta Maji basi watakunywa hata ya Kisima na Chifu wa Kikurya hawezi kuolewa habari ya Ushoga na Kusagana waendelee wao.

Mbwa anambwekea mlishaji. Robo ya mishahara yako ni msaada wao.alafu
 
Hili bunge kama la wendawazimu, likisikia ishu za Simba na yanga wamo, wakisikia ishu za TikTok wamo, ni kama vile hawana ajenda limekuwa kama genge la walevi. Wasisikie kitu wao ni humu tu😂
 
Lazima udharauliwe kama.nchi yako haiwezi hata kutengeneza pampa za watoto, yaani Kariakoo imejaa makolokolo toka china.. una raha gani we Mbuge kuendesha V8 katika nchi ambayo exportation ni almost zero

Wacha tupate tunachostahili - na kama kweli hatutaki kubezwa basi kesho tuwatimue EU masaa 24 warudi kwao.
 
3. Fully respects the collective preferences of the Tanzanian people and the internal electoral process of Tanzania, which must reflect the will of its people;
Mkuu 'ZALEMDA'' hata hili nawe hulitaki.
Nimechukua hilo tu moja kama mfano; kwa sababu hata hayo mengine sioni ubaya wake ni nini.

Nikushukuru tu kwa kuyaweka hapa hayo maazimio ya hao mabeberu.
 
Uthibitisho wa upuuzi uliotukuka kwa CCM na Wabunge wao. Hakukuwa na azimio kuhusu masuala ya Ushoga kwenye maazimio ya jana ya Bunge la Umoja wa Ulaya.

Huu ni Uthibitisho mwingine kuwa hatuna bunge pale Dodoma. Tuna vituko vinavyoitwa wabunge.

Hizo propaganda mnazofanya mnazidi kuthibitisha kuwa nyie ni wapuuzi.
Si wangekataa na misaada
 
Kama Kuna wa kulaumiwa bc n ccm kwasababu wao ndo utembeza bakuli kwao na wanapewa hayo masharti nafuu ambayo sisi wananchi hatujawahi kuyajua ni yapi?
Kwahy tutulie kwasababu wenye hela zao wameamua kutoa tamko
 
Katika Uislamu, ushoga (mapenzi ya jinsia moja) unachukuliwa kuwa ni dhambi kubwa, na misimamo ya wanazuoni wa Kiislamu kuhusu suala hili inatokana na Qur'an, Hadith, na Ijma’ (makubaliano ya wanazuoni).

1. Qur'an

Aya zinazotajwa sana ni zile zinazohusiana na kaumu ya Lut, mfano:

Surat Al-A’raf (7:80-81):





2. Hadithi

Kuna hadithi kadhaa zinazohusishwa na adhabu ya ushoga, miongoni mwao ni:

Hadithi iliyopokewa na Ibn Abbas:
“Mtume (s.a.w.) amesema: ‘Yeyote atakayemkuta akifanya kama walivyofanya watu wa Lut, basi muue mhalifu na yule anayefanyiwa.’”
(Imepokewa na Abu Dawood, Tirmidhi, na Ibn Majah – hadithi hii ina mjadala juu ya uhalali wake na daraja yake).


3. Msimamo wa Wanazuoni

Wanazuoni wa fiqh (sheria ya Kiislamu) wamekubaliana kuwa kitendo cha ushoga ni haramu. Kuhusu adhabu yake:

Madhehebu ya Hanbali na Maliki: Wanapendekeza adhabu ya kifo.

Madhehebu ya Hanafi: Hutoa adhabu ya ta’zir (adhabu ya kadhi kulingana na uzito wa kosa).

Shafi’i: Msimamo wa adhabu ya kifo au kufukuzwa kijamii, kutegemeana na ushahidi na mazingira.

UKIRISTO UNASEMAJE KUHUSU USHOGA?
We mjinga kweli wafiraji wakubwa ni wanaoumiliki uislam au hujui... Nganyau wee
 
Kwahiyo watafurahi hizi abduction na killings zinazoendelea?
 
Back
Top Bottom