Kinacho sikitisha zaidi ni kuangalia vi-inchi vinavyo semekana "kutunyanyasa" sisi; nchi ya kila kitu kinachohitajika kuleta maendeleo yetu.Lazima udharauliwe kama.nchi yako haiwezi hata kutengeneza pampa za watoto, yaani Kariakoo imejaa makolokolo toka china.. una raha gani we Mbuge kuendesha V8 katika nchi ambayo exportation ni almost zero
Wacha tupate tunachostahili - na kama kweli hatutaki kubezwa basi kesho tuwatimue EU masaa 24 warudi kwao.
Ukiondoa Ugerumani, Ufaransa, Italy kwenye orodha ya nchi hizo za EU; utasikitika sana sisi "kusimangwa" na nchi za uomoja huo.
Inasikitisha na kuudhi kwa pamoja; kwa sababu wanayosema juu yetu ni ukweli mtupu. Hapana, ngoja ni'rephrase' maneno hayo: wanachosema juu ya watawala wetu (siyo viongozi), ni kweli tupu.