Mbunge wa CHADEMA ang'aka kuhusu wahujumu uchumi kuachwa huku wenye kesi ndogo wapo jela

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
πŸ‘‡
Haiwezekani watu wana kesi ndogo ndogo wako ndani halafu wenye kesi ya uhujumu uchumi unakaa nao tu (Waziri wa Nishati), huwezi kutofautisha suala la kusababishia hasara serikali katika suala la Symbion na uhujumu uchumi" @halimamdee, Mbunge viti Maalum

#LeoBungeni https://t.co/PcCNggoZJ

Nimemwona akipiga kelele bungeni,Mdee hana hata mshipa wa aibu ,kasimama bungeni hajulikani yeye wa chama kipi,anachofanya hapo ni kupiga kelele japo aonekana.
Data za Bunge zinasema ni wa chama gani?
 
Kwani Chadema imefufuka! Mlikwisha sema ilikufa, mnaipenda nyie ila mnaona aibu.
 
Hata yeye mhujumu uchumi,huwezi sema Mimi nimwana familia huku wazazi wako wamekukataa?
 
Chadema haina mbunge mwenye jina hilo
Mnaumia mkiwa wapi? Hujui taratibu za nchi. Mpaka ithibitishwe na mahakama. Siyo mkae vikao vyenu vyΓ  harusi eti mnafukuzΓ  watu. Si mlisema mahakama uchwara! Kawatoeni kwa nguvu basi
 
Nimemwona akipiga kelele bungeni,Mdee hana hata mshipa wa aibu ,kasimama bungeni hajulikani yeye wa chama kipi,anachofanya hapo ni kupiga kelele japo aonekana.
SASA wabongo vichwa vyenu wengine vimejaa mavi badala ujadili hoja yake unaanza kuleta mambo ya binafsi kwani ye kalazimisha kuwa pale
 
Kwani kuna muhujumu uchumi zaidi yakeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
SASA wabongo vichwa vyenu wengine vimejaa mavi badala ujadili hoja yake unaanza kuleta mambo ya binafsi kwani ye kalazimisha kuwa pale
una akili makalioni
 
Yeye mwenyewe kwanza ni mhujumu uchumi waanze naye
 
Na yeye zile B10 alizohongwa na Meko kuisaliti Chadema inaangukia kwenye uhujumu uchumi
 
Na yeye zile B10 alizohongwa na Meko kuisaliti Chadema inaangukia kwenye uhujumu uchumi
Ndee ndiye alijenga Chadema akiwa na Slaa na Zitto, hivo Mdee kufukuzwa kama mbwa jambo hilo alikubaliki wacha mahakama ihamue, tatizo Sasahivi Chadema hamtaki kusikia neno fisadi na ujumu Uchumi likisemwa, maana sasahivi mmeisha funga nao ndoa.
 
Ulimola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…