Mbunge wa CHADEMA ang'aka kuhusu wahujumu uchumi kuachwa huku wenye kesi ndogo wapo jela

Mbunge wa CHADEMA ang'aka kuhusu wahujumu uchumi kuachwa huku wenye kesi ndogo wapo jela

Mnaumia mkiwa wapi? Hujui taratibu za nchi. Mpaka ithibitishwe na mahakama. Siyo mkae vikao vyenu vyà harusi eti mnafukuzà watu. Si mlisema mahakama uchwara! Kawatoeni kwa nguvu basi
Hujui kitu wewe
 
Nimemwona akipiga kelele bungeni,Mdee hana hata mshipa wa aibu ,kasimama bungeni hajulikani yeye wa chama kipi,anachofanya hapo ni kupiga kelele japo aonekana.
kuna umuhimu wa wagombea binafsi kuwepo bungeni hii sheria ingewalinda hawa COVID 19
 
Mnaumia mkiwa wapi? Hujui taratibu za nchi. Mpaka ithibitishwe na mahakama. Siyo mkae vikao vyenu vyà harusi eti mnafukuzà watu. Si mlisema mahakama uchwara! Kawatoeni kwa nguvu basi
HATA mishipa ya aibu hamna hao covid ni wapinzani kulikoni nyie muwaone ni bora kuwepo mjengoni ilhali wapo kimakosa? kinachoumiza na kufurahisha ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi kutumika hovyohovyo tuu zingine mnalipa hao wabunge hewa hivi mnadhani mnawakomoa CHADEMA? yaani nawambie kwa CHADEMA hii mtaendelea kupata taabu sana tu mpaka mtashika adabu na kuinua miguu juu kama sio mikono vyura wa kijani nyie🤢🤢👽👽
 
SASA wabongo vichwa vyenu wengine vimejaa mavi badala ujadili hoja yake unaanza kuleta mambo ya binafsi kwani ye kalazimisha kuwa pale
Kweli kabisa tujadili hoja alliyotoa ambayo ina mashiko watu wamelundikwa mahabusu kwa kesi ambazo hata hazina maana na hakuna anayeona tatizo hapo yeye kajitolea kuwasemea nongwa acheni hizo
 
👇
Haiwezekani watu wana kesi ndogo ndogo wako ndani halafu wenye kesi ya uhujumu uchumi unakaa nao tu (Waziri wa Nishati), huwezi kutofautisha suala la kusababishia hasara serikali katika suala la Symbion na uhujumu uchumi" @halimamdee, Mbunge viti Maalum

#LeoBungeni https://t.co/PcCNggoZJ

View attachment 2248690

Acha fitina Chadema haina mbunge wa Viti Maalum.
 
Back
Top Bottom