Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hujui kitu weweMnaumia mkiwa wapi? Hujui taratibu za nchi. Mpaka ithibitishwe na mahakama. Siyo mkae vikao vyenu vyà harusi eti mnafukuzà watu. Si mlisema mahakama uchwara! Kawatoeni kwa nguvu basi
kuna umuhimu wa wagombea binafsi kuwepo bungeni hii sheria ingewalinda hawa COVID 19Nimemwona akipiga kelele bungeni,Mdee hana hata mshipa wa aibu ,kasimama bungeni hajulikani yeye wa chama kipi,anachofanya hapo ni kupiga kelele japo aonekana.
HATA mishipa ya aibu hamna hao covid ni wapinzani kulikoni nyie muwaone ni bora kuwepo mjengoni ilhali wapo kimakosa? kinachoumiza na kufurahisha ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi kutumika hovyohovyo tuu zingine mnalipa hao wabunge hewa hivi mnadhani mnawakomoa CHADEMA? yaani nawambie kwa CHADEMA hii mtaendelea kupata taabu sana tu mpaka mtashika adabu na kuinua miguu juu kama sio mikono vyura wa kijani nyie🤢🤢👽👽Mnaumia mkiwa wapi? Hujui taratibu za nchi. Mpaka ithibitishwe na mahakama. Siyo mkae vikao vyenu vyà harusi eti mnafukuzà watu. Si mlisema mahakama uchwara! Kawatoeni kwa nguvu basi
kwambaWasiliana na ofisa wa Bunge akupe majibu
Kweli kabisa tujadili hoja alliyotoa ambayo ina mashiko watu wamelundikwa mahabusu kwa kesi ambazo hata hazina maana na hakuna anayeona tatizo hapo yeye kajitolea kuwasemea nongwa acheni hizoSASA wabongo vichwa vyenu wengine vimejaa mavi badala ujadili hoja yake unaanza kuleta mambo ya binafsi kwani ye kalazimisha kuwa pale
Good👇
Haiwezekani watu wana kesi ndogo ndogo wako ndani halafu wenye kesi ya uhujumu uchumi unakaa nao tu (Waziri wa Nishati), huwezi kutofautisha suala la kusababishia hasara serikali katika suala la Symbion na uhujumu uchumi" @halimamdee, Mbunge viti Maalum
#LeoBungeni https://t.co/PcCNggoZJ
View attachment 2248690
👇
Haiwezekani watu wana kesi ndogo ndogo wako ndani halafu wenye kesi ya uhujumu uchumi unakaa nao tu (Waziri wa Nishati), huwezi kutofautisha suala la kusababishia hasara serikali katika suala la Symbion na uhujumu uchumi" @halimamdee, Mbunge viti Maalum
#LeoBungeni https://t.co/PcCNggoZJ
View attachment 2248690