Mbunge wa Chadema aonekana Lumumba akiteta na mwenezi wa CCM

Mbunge wa Chadema aonekana Lumumba akiteta na mwenezi wa CCM

Haijui CHADEMA vizuri bora aondoke.
Alitumwa kuja kujiingiza ili ajue siri zote za CHADEMA halafu akazitumie kwingine. Ningemjua mpelelezi wa kweli angeanza kujifunza kichaga.
 
Jf uwanja huru funguka nan kaonekana out of ni habari za the sun na gazeti la ijumaa
 
Haijui CHADEMA vizuri bora aondoke.
Alitumwa kuja kujiingiza ili ajue siri zote za CHADEMA halafu akazitumie kwingine. Ningemjua mpelelezi wa kweli angeanza kujifunza kichaga.
Ameolea machame!
 
Haonga, Mwambe na selasini eti wanahamia CCM... let them go!
 
Mbunge wa Chadema ( jina linahifadhiwa kwa sasa) ameonakana katika mtaa wa lumumba akiwa na mwenezi wa CCM wakiteta jambo lililoonekana kuwa la muhimu sana.

Tusubiri kidogo labda wanaccm mtapatiwa zawadi ya Krismas.

Maendeleo hayana vyama!
Mapapalazi ya bongo felia kabisa kazi kuleta umbea ambao hauna hata ushahidi. Wambea wenzenu wanaweka na picha.
 
KAMA NI KWELI..SIKUKUU HAIJAMUENDEA VIZURI................
 
aonekane asionekane sisi wanachadema tunasubiri mkakati atakaotuletea mnyika kudai tume huru
 
Back
Top Bottom