Mbunge wa Chadema aonekana Lumumba akiteta na mwenezi wa CCM

Kuelekea GENERAL ELECTION 2020 lazima mafuta na maji yajitenge.
 
Mbunge wa Chadema ( jina linahifadhiwa kwa sasa) ameonakana katika mtaa wa lumumba akiwa na mwenezi wa CCM wakiteta jambo lililoonekana kuwa la muhimu sana.

Tusubiri kidogo labda wanaccm mtapatiwa zawadi ya Krismas.

Maendeleo hayana vyama!
Mbunge akienda CCM hakuna madhara kama mchezaji wa Yanga akienda Simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge wa Chadema ( jina linahifadhiwa kwa sasa) ameonakana katika mtaa wa lumumba akiwa na mwenezi wa CCM wakiteta jambo lililoonekana kuwa la muhimu sana.

Tusubiri kidogo labda wanaccm mtapatiwa zawadi ya Krismas.

Maendeleo hayana vyama!
zile tetesi zenu za Mnyika kuhamia CCM zilifia wapi???
 
Ile sheria ya Tume ya Uchaguzi ya kutohama Chama pindi muda wa uchaguzi ukikaribia inasemaje?.
 
Mbunge wa Chadema ( jina linahifadhiwa kwa sasa) ameonakana katika mtaa wa lumumba akiwa na mwenezi wa CCM wakiteta jambo lililoonekana kuwa la muhimu sana.

Tusubiri kidogo labda wanaccm mtapatiwa zawadi ya Krismas.

Maendeleo hayana vyama!
Ni "Dogo" ?

Halima ana "dhambi" kweli! Mtu mzima kaitwa dogo amepanick hadi kiama.
 
Back
Top Bottom