mtume wawatu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2016
- 1,053
- 1,199
Acha matusiPolepole alishasema dirisha dogo la kupokea wasaliti lilishafungwa. Acha auze utu wake.
Unajua kwanini malaya hawaheshimiki?
1. Kwasababu hawana msimamo
2. Yoyote mwenye hela kwake ni boss.
3. Hueneza magonjwa
4. Hawana aibu kuanzia uvaaji hadi kuongea.
Mwambe ni failed mission!Umdhaniye siye kwani Arusha walimalizana salama?
Mwambe kurudi CCM siyo habari....... HABARI ni huyu bwashee aliyetimba Lumumba kama ameamua kuunga mkono juhudi!Mwambe ni failed mission!
Ameolea machame!Haijui CHADEMA vizuri bora aondoke.
Alitumwa kuja kujiingiza ili ajue siri zote za CHADEMA halafu akazitumie kwingine. Ningemjua mpelelezi wa kweli angeanza kujifunza kichaga.
Kuanzia kwenye kichwa cha huyo "Mungu" mpaka mimba, watanzania ni laanaMwambe kurudi CCM siyo habari....... HABARI ni huyu bwashee aliyetimba Lumumba kama ameamua kuunga mkono juhudi!
Hahahaaa.... .ngome imeanza kubomolewa kuelekea 2020!Kuanzia kwenye kichwa cha huyo "Mungu" mpaka mimba, watanzania ni laana
Mapapalazi ya bongo felia kabisa kazi kuleta umbea ambao hauna hata ushahidi. Wambea wenzenu wanaweka na picha.Mbunge wa Chadema ( jina linahifadhiwa kwa sasa) ameonakana katika mtaa wa lumumba akiwa na mwenezi wa CCM wakiteta jambo lililoonekana kuwa la muhimu sana.
Tusubiri kidogo labda wanaccm mtapatiwa zawadi ya Krismas.
Maendeleo hayana vyama!
Kalagabaho bwashee!Mapapalazi ya bongo felia kabisa kazi kuleta umbea ambao hauna hata ushahidi. Wambea wenzenu wanaweka na picha.
Walikuwa wanakubaliana bei doktaAlionekana akiwa na Afisa Manunuzi wa Chama
Mwambe CecilMbunge wa Chadema ( jina linahifadhiwa kwa sasa) ameonakana katika mtaa wa lumumba akiwa na mwenezi wa CCM wakiteta jambo lililoonekana kuwa la muhimu sana.
Tusubiri kidogo labda wanaccm mtapatiwa zawadi ya Krismas.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa sasa ni usajili wa mkopo!Walikuwa wanakubaliana bei dokta
Ila jamaa kwa jinsi alivyo na mambo ya kike kama jina lake lilivyo,sitoshangaa akihamia kwa mkopoKwa sasa ni usajili wa mkopo!
Mbunge wa Chadema ( jina linahifadhiwa kwa sasa) ameonakana katika mtaa wa lumumba akiwa na mwenezi wa CCM wakiteta jambo lililoonekana kuwa la muhimu sana.
Tusubiri kidogo labda wanaccm mtapatiwa zawadi ya Krismas.
Maendeleo hayana vyama!