Pre GE2025 Mbunge wa Covid 19, Nusrat Hanje atangaza kugombea jimbo la zamani la Tundu Lissu, Singida Mashariki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tundu Lissu hajapeleka maendeleo yoyote SM....

WanaSM wanahitaji mbunge aina ya mh.Nusrat Hanje ,ni kijana , shupavu,ana maono na amejifunza tabia njema kwa sasa baada ya akina Mwaipaya kumwingiza katika lile kundi lako la "pingapinga" kufikia kuuimba wimbo na TUNU ya taifa kwa "midundo ya singeli na reggae"....

Mh.Nusrat kakomaa kizalendo si huyu TL kibaraka wa akina Robert Amsterdam......
 
Anagombea kwa uchaguzi upi , ikumbukwe no REFORM NO ELECTIONS, hivi hawa wajinga wanajitambua kweli .

Kwa kauli hii mpaka sasa hakuna uchaguzi , ukipitia maandiko yangu mengi ya nyuma ,

Nimerudia mara nyingi kwamba( endapo uchaguzi ukifanyika 2025 ccm itapigwa kama ngoma ) zingatia neno uchaguzi ukifanyika na hili liwakae vinywani nyie maccm .

Leo eti mnamleta makamu mwenyekiti mzee , kisa hana cha kupoteza maana mda amekula maisha na mda mda aliobakia nao Duniani ni mchache sana . Sasa ccm mtachagua Taifa life au lisimame.

Nyie machawa siku zenu zaesabika sana, mwamini Mungu sio binadam, pigania taifa sio mtu binafsi , kesho upo, kesho kutwa haupo ila ukoo wako wapo watakao kuwepo .

Machawa mnaenda siku moja kufa midomo wazi
 
Si wewe wa kuuzuia uchaguzi mkuu wa nchi....

Si huyo boss wako mropokaji anayeweza kuuzuia huo uchaguzi mkuu.....

Kwa merits zipi anaweza kuuzuia uchaguzi mkuu ?!!

TL aache kujipa "matrkkkkoo yasiyo na kiuno....".

CCM haiwezi kupigwa kama "ngoma..."

Jidanganye Mwayego.....
 
Reactions: Tui
Hujui dunia na mbingu, upo kama zezeta tu, so ni bure bishana na kapuku katika ufalme wa Mbingu.

So wafikili ni nyie ccm wa kuamua mstakabali wa taifa hili? TWENDE mda mwalim .

Zipo sauti zikitoka si za kimlaka za kidunia sasa chukulia poa , niite mbwa nipo pale
 
Unajua Tanzania tuna hasara kubwa sana ambayo athari zake zitajitokeza miaka ijayo na kila mtu atatucheka. Kwenye uchaguzi rais ndiye anaamua nani ashinde na siyo wananchi. Ndiyo hawa hawaogopi wananchi.
Sio uchaguzi wa mwaka huu bro...😀😀... trust me and sticky this comment, hakuna rais wala makamu wa rais atakayembeba mtu yeyote katika uchaguzi wa kipindi hiki... wote hao wako bize kupambania nafasi zao maana mpaka muda huu zipo 50/50... Halafu ndio useme wambebe huyo Nusura.... No way... Uchaguzi wa mwaka ni wa kihistoria na wa tofauti kuliko yote... Kama Chadema wangekua na vision ya mbali wangeachana na hayo marekebisho waingie hivi hivi, niamini hakuna kura ingeibiwa au polisi kuingilia.
 
Sitishiki na Tambo zako koko....acha kujitia "chiiizzyyy" mkuu wangu.....

Sauti ya mamlaka imetekeleza kumteua mh.Rais Samia na mgombea wake mwenza kamarada Emmanuel.J.Nchimbi....

Hebu punguza vibweka tusikuweke kundi la wateja wa "modicate"......
 
Reactions: Tui
Sahihi.
 
Hata Lissu anatumiwa.
Hiko hivi mkuu bila kujali vyama ,kabila, Taifa ni muhim kuliko yoyote , aya mambo yakujipa kiburi kwamba sijui wewe ni Rais , makam,waziri mkuu, sijui ,Igp, Cdf , mkurugenzi Taifa TISS n.k sio mda sahii kwa nchi kama tz ,ambayo imekua gumzo Dunia hii anzia uhuru, swa la hapa ni kukaa na kuamua tunaondokaje hapa kwa umoja kama Taifa.

Vinginevyo Taifa linaenda angamia na wenda nyanyuka badae sana , utamcheka mtu kwamba anaongea ujinga kisa upo kwa mamlaka ,unajidanganya
 
Imagine huyu ni mbunge. Ujinga kwenye nchi yangu upo kwa wafanya maamuzi
 
Wanachadema wameshachoka kufanya siasa wengi wao kwa Sasa wanaona aibu tu kujiunga na ccm

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Acha hoja za kitoto....

Katiba ya nchi ndiyo inayowainua hao viongozi....biblia tu iliwainua baadhi na kuwaacha wengine....

Unaongea POROJO KOKO gani?!!
 
Mbona hakuna alipomgusa Lisu? Hata huyo Lisu ni lini kasema anagombea ubunge?

Chadema haina mgombea Urais kwa sasa zaidi ya Lisu.

Swali anagombea kupitia chama gani? Kama ni ccm wanamfyeka mapema tu kwenye kura za maoni.

Kama sikisei mbunge wa sasa ni Kingu, ni mtu wa mfumo ccm hawawezi kumuacha mtu wao kwa ajuli ya condom iliyotumika.
 
Sitishiki na Tambo zako koko....acha kujitia "chiiizzyyy" mkuu wangu.....

Sauti ya mamlaka imetekeleza kumteua mh.Rais Samia na mgombea wake mwenza kamarada Emmanuel.J.Nchimbi....

Hebu punguza vibweka tusikuweke kundi la wateja wa "modicate"......
Huna akili, mwenye akili uchutama
 

..wameisha-test mitambo ktk uchaguzi serikali za mitaa.

..uchaguzi mkuu utakuwa na vurugu kubwa zaidi haswa Zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…