Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Maandiko yako nilipoyasoma nilimaizi kiwango chako kikubwa cha upumbavu mkuu wangu.....Huna akili pumbavu
Hajataja chama
Com wanamuogopa Lissu mpaka wanafanya mambo ya kitoto mnoWakuu,
Huyu Mbunge wa COVID 19 ameamua kwenda jino kwa jino na Lissu huko Singida Mashariki
==============================================
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Nusrat Hanje, ametangaza nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Singida Mashariki katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Akitangaza azma yake Februari 20, 2025, nyumbani kwake Ikungi, Singida, wakati wa Maombi na Dua ya Kumwombea Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Amani katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Hanje amesema ana dhamira ya dhati ya kuwatumikia wananchi wa Singida Mashariki.
Ameeleza kuwa nia yake ya kugombea inatokana na hamu ya kuwasaidia wananchi, huku akisisitiza kuwa ubunge wake hautakuwa kwa ajili ya kujitajirisha.
"Nafikiri mtapata Mbunge ambaye kwa mara ya kwanza mtafurahia kuwa naye, kwa sababu sijapanga kutajirika kupitia Ubunge. Nitahakikisha ninagawana nanyi kadri inavyofaa," amesema Hanje.
Kipi kinakufanya uamini hayo?Sio uchaguzi wa mwaka huu bro...😀😀... trust me and sticky this comment, hakuna rais wala makamu wa rais atakayembeba mtu yeyote katika uchaguzi wa kipindi hiki... wote hao wako bize kupambania nafasi zao maana mpaka muda huu zipo 50/50... Halafu ndio useme wambebe huyo Nusura.... No way... Uchaguzi wa mwaka ni wa kihistoria na wa tofauti kuliko yote... Kama Chadema wangekua na vision ya mbali wangeachana na hayo marekebisho waingie hivi hivi, niamini hakuna kura ingeibiwa au polisi kuingilia.
Ashanusa uvundo wakukosa viti maalum..CCM wenzie watampitisha?
Viti maalum kupitia TLRose Mayemba(Waridi,mwanamke machachari wa Chadema) yeye atagombea jimbo gani ?
Kwahiyo unataka niandike unachopenda kusoma? Acheni mentality Za kipumbavu na kitoto!! Kwani Nusrat Hanje Hana haki Za kidemokrasia Za kuchagua na kuchaguliwa?Mkuu siku hizi naona kichwa chako kimepoteza focus kabisa. Chuki iliyonayo kwa Lissu inakufanya hata uone ni bora Samia ateue wabunge wote wa Tanzania kuliko Lissu kupata tena ubunge. Hili jambo huwa linanishangaza sana. Watu wengi walio upinzani wanapotofautiana na wenzao wanakuwa wabaya kuliko hata CCM.
Hii ni kweli kabisa .Unajua Tanzania tuna hasara kubwa sana ambayo athari zake zitajitokeza miaka ijayo na kila mtu atatucheka. Kwenye uchaguzi rais ndiye anaamua nani ashinde na siyo wananchi. Ndiyo hawa hawaogopi wananchi.
Mkuu umeandika vizuri ,ila tumechoka, vijana wetu kua vilema ,uliwa , binafsi ni mwana chadema ila sina shida kabisa akishinda mwana ccm kwa njia ya haki , awe mbunge, diwani ,au Rais , hii tabia ya kutumia watu huwa wenzao ,tia virema wenzao haikubaliki naunga mkono msimamo wa chama cha chadema .Sio uchaguzi wa mwaka huu bro...😀😀... trust me and sticky this comment, hakuna rais wala makamu wa rais atakayembeba mtu yeyote katika uchaguzi wa kipindi hiki... wote hao wako bize kupambania nafasi zao maana mpaka muda huu zipo 50/50... Halafu ndio useme wambebe huyo Nusura.... No way... Uchaguzi wa mwaka ni wa kihistoria na wa tofauti kuliko yote... Kama Chadema wangekua na vision ya mbali wangeachana na hayo marekebisho waingie hivi hivi, niamini hakuna kura ingeibiwa au polisi kuingilia.
Alafu unakaa viti virefu na kujisifu your tank think ya ccm au wa mama , hopeless kabisa.Maandiko yako nilipoyasoma nilimaizi kiwango chako kikubwa cha upumbavu mkuu wangu.....
Si kosa langu ,nasahihishaje upumbavu wako ulio sentimeta chache kutoka kidevuni mwako ?!!
Hawa ndugu wamechanganyikiwa. Hawaelewi hata wafanye nini. Hapo anatangaza atawania Ubunge, lkni hasemi atawania ubunge kupitia chama gani. Kinachoonekana ni Bendera za Tanzania zenye picha ya Rais. Hiyo nayo itakua bendera mpya mjini. Dada zetu hao wamekua kama mpira uliotumiwa , baada ya tendo la ngono, ukatupwa jalalani.Wakuu,
Huyu Mbunge wa COVID 19 ameamua kwenda jino kwa jino na Lissu huko Singida Mashariki
==============================================
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Nusrat Hanje, ametangaza nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Singida Mashariki katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Akitangaza azma yake Februari 20, 2025, nyumbani kwake Ikungi, Singida, wakati wa Maombi na Dua ya Kumwombea Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Amani katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Hanje amesema ana dhamira ya dhati ya kuwatumikia wananchi wa Singida Mashariki.
Ameeleza kuwa nia yake ya kugombea inatokana na hamu ya kuwasaidia wananchi, huku akisisitiza kuwa ubunge wake hautakuwa kwa ajili ya kujitajirisha.
"Nafikiri mtapata Mbunge ambaye kwa mara ya kwanza mtafurahia kuwa naye, kwa sababu sijapanga kutajirika kupitia Ubunge. Nitahakikisha ninagawana nanyi kadri inavyofaa," amesema Hanje.
Atagombea kwa CHADEMACCM wakishakutumia wanakutupa, Asahau ubunge hadi mauti
CHADEMAAnagombea Kwa tiketi ya chama gani?
Kuna watu wengi timu Mbowe bado wamenuna sana mpaka sasa!Mkuu siku hizi naona kichwa chako kimepoteza focus kabisa. Chuki iliyonayo kwa Lissu inakufanya hata uone ni bora Samia ateue wabunge wote wa Tanzania kuliko Lissu kupata tena ubunge. Hili jambo huwa linanishangaza sana. Watu wengi walio upinzani wanapotofautiana na wenzao wanakuwa wabaya kuliko hata CCM.