Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Kama Katiba inabakwa mchana kweupe hivi na wao wanakula kiapo kulinda Katiba inabidi watuambie wanakula kiapo kuilinda Katiba ipi?Hii TZ inabidi utafiti ufanyike kwenye bongo za watu
Tatizo kubwa la Tanzania kila mtu ni mlalamikaji yaani kila mtu anaamini kuna mtu yupo mahali ambao hawamjui atakuja kuwasaidia
Kuhama chama ina maana unapoteza ubunge sasa toka lini mbunge wa chadema akawa na kadi ya CCM na bado akabaki mbunge?Tatizo kubwa la Tanzania kila mtu ni mlalamikaji yaani kila mtu anaamini kuna mtu yupo mahali ambao hawamjui atakuja kuwasaidia
Sasa hapo kuna kosa gani ni uamuzi wake binafsi
💯% correctTatizo kubwa la Tanzania kila mtu ni mlalamikaji yaani kila mtu anaamini kuna mtu yupo mahali ambao hawamjui atakuja kuwasaidia
Sasa hapo kuna kosa gani ni uamuzi wake binafsi
Huyo alifukuzwa uanachama wa Chadema na kilichokuwa chama chake Chadema mwaka 2021.Tatizo kubwa la Tanzania kila mtu ni mlalamikaji yaani kila mtu anaamini kuna mtu yupo mahali ambao hawamjui atakuja kuwasaidia
Sasa hapo kuna kosa gani ni uamuzi wake binafsi
Katiba ipo wazi. Mifano ipo wazi alafu mambo haya bado yanatokea.Kuhama chama ina maana unapoteza ubunge sasa toka lini mbunge wa chadema akawa na kadi ya CCM na bado akabaki mbunge?
Sophia Simba alipofukuzwa ubunge siku hiyo hiyo ikatangazwa kiti kuwa wazi!!
Hata hii watu wanatekwa, JWTZ haioni haki ya kuishi inaporwa na wapo tu hawachukui hatua!Katiba ipo wazi. Mifano ipo wazi alafu mambo haya bado yanatokea.
Inabidi hawa JWTZ watuambie wanakulaga kiapo kulinda Katiba ipi.
Tulipofika sasa ndo mana nchi nzima tunaonekana hatuna akili. Si kwa mambo ya aibu haya yanayofanyika.
Sijui tumekuwa na jeshi gani kwa kweli? Ndo mana saivi wanadhalilishwa hadi na watoto wadogo M23 kule Goma.Hata hii watu wanatekwa, JWTZ haioni haki ya kuishi inaporwa na wapo tu hawachukui hatua!
Kwa hiyo mnaangalia maokoto ila sio Katiba ya nchi na Utawala wa Sheria pamoja na maslahi ya nchi? Si mtutangazie basi nchi hii haina Katiba inaongozwa kwa utashi wa watu?Maokoto kwanza, mbwembwe nyingine baadaye
Atajitetea kaalikwa na kavaa koti la rangi ya. Kijani tuu sio uniform ya ccm, nawaza tuuHuyo alifukuzwa uanachama wa Chadema na kilichokuwa chama chake Chadema mwaka 2021.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema hivi kuhusu sifa za mtu kuwa mbunge;
View attachment 3349800
Kwa maana hiyo huyu hastahili kuwa mbunge na kuendelea kulipwa mshahara na posho za Ubunge kama Mbunge wa Chadema.
Mbaya zaidi yupo kwenye mkutano wa CCM ndani ya mavazi ya CCM akitambulika kama mbunge wa Chadema anayelipwa fedha za wananchi masikini wa nchi hii kama mbunge wa Chadema.
Huu ni ulawiti wa Katiba sio ubakaji tu. Alafu JWTZ wanasema wameapa kuilinda Katiba. Wanailindaje sasa kwa haya yanayofanyika?
Mkuu hii nchi wee acha tu.Kuhama chama ina maana unapoteza ubunge sasa toka lini mbunge wa chadema akawa na kadi ya CCM na bado akabaki mbunge?
Sophia Simba alipofukuzwa ubunge siku hiyo hiyo ikatangazwa kiti kuwa wazi!!
Hii nchi ndo mana Gen Z wa Kenya wanatudharau sana. Haiwezekani Katiba inabakwa na kulawitiwa waziwazi alafu vyombo vinavyohusika kuilinda Katiba vimezubaa tu kama mandezi. Wananchi ndo usiseme ni kama tumerogwa vileHii TZ inabidi utafiti ufanyike kwenye bongo za watu
Kama Wanasiasa wanafanya mambo ya hovyo ya kuvunja Katiba waziwazi bila kuogopa chochote, Je hela za kodi zetu wanazozihifadhi kwa siri huko wanazifanyia nini?Mkuu hii nchi wee acha tu.
Double standard za wazi hizi na hakuna anayehoji!