PreGE2025 Mbunge wa Covid 19 Salome Makamba aibukia mkutano wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hapo unalalamika kuhusu nini?
Dodoma anaweza kwenda mtu yoyote mwenye nauli ya kwenda kule.
Usiwataje JWTZ bila sababu.
Kama lipo tatizo,I 'm sure wataliona
But then,hawa ni askari
They are only taught HOW to shoot.
They are not taught WHO to shoot.
 
Utoto kila siku nakuambia unakusumbua. Hapo kuna kosa gani? Mwislamu kwenda katika sherehe za kikatoliki ni dhambi?
Sio lazima uchangie kwenye kila hoja kwa sababu unalipwa na Makalla kukesha mitandaoni kukitetea Chama.

Huyo kafukuzwa uanachama wa Chadema anakuwaje mbunge kwa tiketi ya Chadema na Katiba inataka mbunge awe mwanachama wa Chama cha siasa?

Okey yupo kwenye shughuli ya CCM ndani ya nguo za CCM huku akiendelea kutambulika na kulipwa mshahara na posho kwa kodi za Wananchi masikini kama mbunge wa Chadema.

Hii nchi sio wote ni wapumbavu na wajinga kama mnavyodhani.
 
Mwaka huu pressure lazima ulazwe! Mengine ambayo huyawezi achana nayo
 
Hapo unalalamika kuhusu nini?
Dodoma anaweza kwenda mtu yoyote mwenye nauli ya kwenda kule.
Usiwataje JWTZ bila sababu.
Kama lipo tatizo,I 'm sure wataliona
But then,hawa ni askari
They are only taught HOW to shoot.
They are not taught WHO to shoot.
Huyo Salome Makamba alifukuzwa uanachama wa Chadema mwaka 2021.

Kwa mujibu wa Katiba yetu hakupaswa kuendelea kuwa mbunge wa ticketi ya Chadema kwa sababu Katiba inataka mbunge awe mwanachama wa chama cha siasa.

Hapo yupo kwenye mkutano wa CCM akiwa ndani ya mavazi ya CCM huku anatambulishwa kama mbunge wa Chadema na akiendelea kulipwa mshahara na posho kwa kodi za Wananchi masikini wa nchi hii kama mbunge wa Chadema kinyume na Katiba.
 
Mwaka huu pressure lazima ulazwe! Mengine ambayo huyawezi achana nayo
Siyawezi kivipi? Pressure kivipi?
Kama unaona sawa kwa Sheria kuu ya nchi kulawitiwa hivi wengine hatuwezi kuona haya mambo ni sawa kwa sababu hayapaswi kuwa sawa.

Kama Viongozi hawaheshimu Katiba sasa wataheshimu nini?
 
Huyo Salome Makamba alifukuzwa uanachama wa Chadema mwaka 2021.

Kwa mujibu wa Katiba yetu hakupaswa kuendelea kuwa mbunge wa ticketi ya Chadema kwa sababu Katiba inataka mbunge awe mwanachama wa chama cha siasa.

Hapo yupo kwenye mkutano wa CCM akiwa ndani ya mavazi ya CCM huku anatambulishwa kama mbunge wa Chadema na akiendelea kulipwa mshahara na posho kwa kodi za Wananchi masikini wa nchi hii kama mbunge wa Chadema kinyume na Katiba.
Hayo mambo ya Chadema na CCM na msajili wa vyama vya siasa, JWTZ inawahusu nini?
 
Siyawezi kivipi? Pressure kivipi?
Kama unaona sawa kwa Sheria kuu ya nchi kulawitiwa hivi wengine hatuwezi kuona haya mambo ni sawa kwa sababu hayapaswi kuwa sawa.

Kama Viongozi hawaheshimu Katiba sasa wataheshimu nini?
Ujinga tu umekujaa
 
Kwa sababu huna akili ndo mana unakuja kuleta hoja za kipuuzi kwenye mijadala ya maana.

Huu upuuzi wako wapelekee wenzako UWT huko.
Ungekuwa na hata chembe ya akili

Usingeweza kuunganisha picha na Jeshi letu tukufu la Wananchi TZ na Ujinga wako.

Hatahivyo, tulia tu....hoja inapingwa na hoja na sio kukurupuka na kunishambulia.

Huna weledi na hiyo akili yako ina utata

...sasa unakasirika nini, umeweka picha(hoja yako) nimekuwekea picha(hoja yangu)

Umeshindwa kujibu

Una akili timamu kuunganisha picha ya mrembo(kufanya correlation) na JWTZ kulinda katiba? Wapi na wapi?

Sasa ulitaka wangeenda kumzuia asiende CCM.

Haya ndio yale ya ma "Kenge" aliyosema Mbunge.
 
Huyo Salome Makamba alifukuzwa uanachama wa Chadema mwaka 2021.

Kwa mujibu wa Katiba yetu hakupaswa kuendelea kuwa mbunge wa ticketi ya Chadema kwa sababu Katiba inataka mbunge awe mwanachama wa chama cha siasa.

Hapo yupo kwenye mkutano wa CCM akiwa ndani ya mavazi ya CCM huku anatambulishwa kama mbunge wa Chadema na akiendelea kulipwa mshahara na posho kwa kodi za Wananchi masikini wa nchi hii kama mbunge wa Chadema kinyume na Katiba.
...sasa ulitaka Jeshi la Wananchi wamzuie?

Wamezuia Uhaini, bado mkalalamika. au Unataka ingekuwa kama hapa chini👇🏿
jamiiforums1556955921_540x378-jpg.2639634

😅😂😂😂
 
Ni hoja fikirishi sana. Katiba haiheshimiwi na walio kwenye madaraka lakini wanataka wananchi waheshimu sheria na katiba. Kama kungekuwa na haki nchini suala kama hilo lisingepita bila kuhojiwa. Bahati mbaya hata vyombo vya habari havijali maslahi ya wananchi. Vimekuwa mawakala wa watawala kwa kuandika yanayowapendeza.
 
Rev. Daniel Mgogo alishauri ifungwe mashine ya ku scan akili za wageni wote wanaoingia jijini kubaini uzima wa akili zao, sasa ndiyo namuelewa alimaanisha nini
 
GenZ wameanza kuutukana mkutano wa CCM 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom