PreGE2025 Mbunge wa Covid 19 Salome Makamba aibukia mkutano wa CCM

PreGE2025 Mbunge wa Covid 19 Salome Makamba aibukia mkutano wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
...nimesema, huna weledi na hata chembe ya akili.

Hutaki.

Ushugulikiwe wewe. Ipasavyo.

Ati censorship.

Unaaandika upumbavu wakuachie?

Uwe unafuata miongozo ya Jamvi.

Kiko wapi?
Miongozi ipi iliyokiukwa?
 
Miongozi ipi iliyokiukwa?
Kama haijakiukwa, ni kwanini wamebadilisha bandiko kuu?

Kwasababu hutumii hata chembe ya akili. Ikiwa tu, kama una hata hiyo chembe.

Huwa unatafuta kiki kila unapopata nafasi, Kuzodoa, Kudhalilisha na Kuwakejeli Wanajeshi wa Tanzania....

....hata pale pasipo na uhusiano wa moja kwa moja na maudhui yako.

TCRA bado wanakutafuta
 
Jibu swali! Miongozo ipi imekiukwa? Acha wenge kijana!

Wamekejeliwa kivipi? Wamedhalilishwa kivipi?
 
Covid wote wale ni ccm na wengine watazuga kwenda chauma ila wajue hakuna mtu mwenye akili timamu atawapigia kura
 
Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba ameonekana leo katika Mkutano Mkuu wa CCM jijini Dodoma akiwa amevalia sare za chama hicho.

Makamba ni miongoni mwa wabunge 19 waliofungua kesi mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama wa CHADEMA.
View attachment 3349786View attachment 3349787
Hawa wa Mama sasa hivi ni mparaganyiko kila mtu anashika tawi lake kujaribu kujiokoa kisiasa.
 
Wameshashikwa matako na UVCCM kama wenzao TISS. Kama haya ya kubakwa Katiba yanafanywa waziwazi na hawafanyi lolote basi hawana sababu yeyote ya kula kiapo cha kulinda Katiba. Waendelee tu kulewa na kustarehe
Kweli washa kua polissm
 
Back
Top Bottom