Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
-
- #21
Mambo ya Katiba tu wanayavunja waziwazi hivi bila hofu yeyote sasa vipi kuhusu kodi zetu wanazokusanya na kuzipangia matumizi bila sisi kujua?Mbunge wa chadema bungeni ni mmoja tu akitokea jimbo la nkasi, waliobaki wote ni ssm
Tuliambiwa katiba ni kijitabu tu na watanzania wengi hawakajuiMambo ya Katiba tu wanayavunja waziwazi hivi bila hofu yeyote sasa vipi kuhusu kodi zetu wanazokusanya na kuzipangia matumizi bila sisi kujua?
Hii nchi imeshajifia. Tusubiri maziko tuTuliambiwa katiba ni kijitabu tu na watanzania wengi hawakajui
Wanamlinda mkulu chura kiziwiKama Katiba inabakwa mchana kweupe hivi na wao wanakula kiapo kulinda Katiba inabidi watuambie wanakula kiapo kuilinda Katiba ipi?
Bosi ndugae hajakusikia badoHii nchi imeshajifia. Tusubiri maziko tu
Kwa hiyo Rais ndo Katiba?Wanamlinda mkulu chura kiziwi
Mmoja ya maraisi alisema katiba ni kakitabu tu.Kwa hiyo Rais ndo Katiba?
Basi tusubiri tu kuzikwa maana kama hizo ndo akili zetu tukubali hili Taifa limeshajifia.
Asikie huko halipo. Kwa haya yanayofanyika sasa. We are finished and officially a failed state.Bosi ndugae hajakusikia bado
Huo ndio ukweli. Hostoria iandikwe hivyoMbunge wa chadema bungeni ni mmoja tu akitokea jimbo la nkasi, waliobaki wote ni ssm
Tunahitaji watu milioni 10 kama wewe mkuu.Tatizo kubwa la Tanzania kila mtu ni mlalamikaji yaani kila mtu anaamini kuna mtu yupo mahali ambao hawamjui atakuja kuwasaidia
Sasa hapo kuna kosa gani ni uamuzi wake binafsi
Wameshashikwa matako na UVCCM kama wenzao TISS. Kama haya ya kubakwa Katiba yanafanywa waziwazi na hawafanyi lolote basi hawana sababu yeyote ya kula kiapo cha kulinda Katiba. Waendelee tu kulewa na kustareheJwtz aisee alafu kwenye vita mitoto ya wakuu haitakaa kupelekwa. Oyaa wazee wlwa JWTZ mnatukwamisha sana. Hembu simamieni katiba na kulinda hili taifa. Tupate ibra wa kwetu
Ajiunge huko huku akiwa amefukuzwa Chadema alafu aendelee kulipwa mshahara na posho kwa kodi za Wananchi Masikini wa Taifa hili kama mbunge wa Chadema?Tunahitaji watu milioni 10 kama wewe mkuu.
Nimeclick kwenye uzi nikajua kuna la maana kutokana na title ya uzi kumbe ujinga. Huyu dada anakosa gani....ajiunge CCM ajiunge ACT, ajiunge Chadema maamuzi yake
...na wapo wengine walifukuzwa kwa njia ya Kidemokrasia 2024ππΏHuyo alifukuzwa uanachama wa Chadema na kilichokuwa chama chake Chadema mwaka 2021.
Hakika, hata huyo kwenye picha hapo juu, yalimkuta.Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema hivi kuhusu sifa za mtu kuwa mbunge;
View attachment 3349800
Kwa maana hiyo huyu hastahili kuwa mbunge na kuendelea kulipwa mshahara na posho za Ubunge kama Mbunge wa Chadema.
π πππΏMbaya zaidi yupo kwenye mkutano wa CCM ndani ya mavazi ya CCM akitambulika kama mbunge wa Chadema anayelipwa fedha za wananchi masikini wa nchi hii kama mbunge wa Chadema.
Huu ni ulawiti wa Katiba sio ubakaji tu. Alafu JWTZ wanasema wameapa kuilinda Katiba. Wanailindaje sasa kwa haya yanayofanyika?
Kwa sababu huna akili ndo mana unakuja kuleta hoja za kipuuzi kwenye mijadala ya maana....na wapo wengine walifukuzwa kwa njia ya Kidemokrasia 2024ππΏ
Hakika, hata huyo kwenye picha hapo juu, yalimkuta.
π πππΏ
Red Brigade walikuwa wapi wakati DJ mbowe akilawitiwa kura zake?
Nimewaza tu
Wakiibukia chakadomoz pia utafiti unafanyika?Hii TZ inabidi utafiti ufanyike kwenye bongo za watu
Hoja haipigwi mkukiKwa sababu huna akili ndo mana unakuja kuleta hoja za kipuuzi kwenye mijadala ya maana.
Huu upuuzi wako wapelekee wenzako UWT huko.
Sheria haziwahusu mkuu. Ila unajua? Ni vizuri sana sana wahamie huko wote. Unajua kadiri wanavyojazana huko, basi ushindani unaongezeka na ulaji unapungua. Matokeo yake kutakuwa na kuongezeka kwa struggle for survive hivyo mpasuko wa kweli.Kuhama chama ina maana unapoteza ubunge sasa toka lini mbunge wa chadema akawa na kadi ya CCM na bado akabaki mbunge?
Sophia Simba alipofukuzwa ubunge siku hiyo hiyo ikatangazwa kiti kuwa wazi!!
Hao vijana wa Makalla wapo kwa kazi maalum kupotosha mijadala serious kwenye mitandao hivyo ni vizuri apewe anachostahiliHoja haipigwi mkuki
Utoto kila siku nakuambia unakusumbua. Hapo kuna kosa gani? Mwislamu kwenda katika sherehe za kikatoliki ni dhambi?