Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Sio lazima uchangie kwenye kila hoja kwa sababu unalipwa na Makalla kukesha mitandaoni kukitetea Chama.Utoto kila siku nakuambia unakusumbua. Hapo kuna kosa gani? Mwislamu kwenda katika sherehe za kikatoliki ni dhambi?
Mwaka huu pressure lazima ulazwe! Mengine ambayo huyawezi achana nayoSio lazima uchangie kwenye kila hoja kwa sababu unalipwa na Makalla kukesha mitandaoni kukitetea Chama.
Huyo kafukuzwa uanachama wa Chadema anakuwaje mbunge kwa tiketi ya Chadema na Katiba inataka mbunge awe mwanachama wa Chama cha siasa?
Okey yupo kwenye shughuli ya CCM ndani ya nguo za CCM huku akiendelea kutambulika na kulipwa mshahara na posho kwa kodi za Wananchi masikini kama mbunge wa Chadema.
Hii nchi sio wote ni wapumbavu na wajinga kama mnavyodhani.
Huyo Salome Makamba alifukuzwa uanachama wa Chadema mwaka 2021.Hapo unalalamika kuhusu nini?
Dodoma anaweza kwenda mtu yoyote mwenye nauli ya kwenda kule.
Usiwataje JWTZ bila sababu.
Kama lipo tatizo,I 'm sure wataliona
But then,hawa ni askari
They are only taught HOW to shoot.
They are not taught WHO to shoot.
Siyawezi kivipi? Pressure kivipi?Mwaka huu pressure lazima ulazwe! Mengine ambayo huyawezi achana nayo
Hayo mambo ya Chadema na CCM na msajili wa vyama vya siasa, JWTZ inawahusu nini?Huyo Salome Makamba alifukuzwa uanachama wa Chadema mwaka 2021.
Kwa mujibu wa Katiba yetu hakupaswa kuendelea kuwa mbunge wa ticketi ya Chadema kwa sababu Katiba inataka mbunge awe mwanachama wa chama cha siasa.
Hapo yupo kwenye mkutano wa CCM akiwa ndani ya mavazi ya CCM huku anatambulishwa kama mbunge wa Chadema na akiendelea kulipwa mshahara na posho kwa kodi za Wananchi masikini wa nchi hii kama mbunge wa Chadema kinyume na Katiba.
Ujinga tu umekujaaSiyawezi kivipi? Pressure kivipi?
Kama unaona sawa kwa Sheria kuu ya nchi kulawitiwa hivi wengine hatuwezi kuona haya mambo ni sawa kwa sababu hayapaswi kuwa sawa.
Kama Viongozi hawaheshimu Katiba sasa wataheshimu nini?
Wenyewe wanasubiri teuziMambo ya Katiba tu wanayavunja waziwazi hivi bila hofu yeyote sasa vipi kuhusu kodi zetu wanazokusanya na kuzipangia matumizi bila sisi kujua?
Ungekuwa na hata chembe ya akiliKwa sababu huna akili ndo mana unakuja kuleta hoja za kipuuzi kwenye mijadala ya maana.
Huu upuuzi wako wapelekee wenzako UWT huko.
...sasa ulitaka Jeshi la Wananchi wamzuie?Huyo Salome Makamba alifukuzwa uanachama wa Chadema mwaka 2021.
Kwa mujibu wa Katiba yetu hakupaswa kuendelea kuwa mbunge wa ticketi ya Chadema kwa sababu Katiba inataka mbunge awe mwanachama wa chama cha siasa.
Hapo yupo kwenye mkutano wa CCM akiwa ndani ya mavazi ya CCM huku anatambulishwa kama mbunge wa Chadema na akiendelea kulipwa mshahara na posho kwa kodi za Wananchi masikini wa nchi hii kama mbunge wa Chadema kinyume na Katiba.
Unaelewaje wanavyoapa kuilinda Katiba?...sasa ulitaka Jeshi la Wananchi wamzuie?
Wamezuia Uhaini, bado mkalalamika. au Unataka ingekuwa kama hapa chiniππΏ
π πππ
...nimesema, huna weledi na hata chembe ya akili.
Huna AkiliUnaelewaje wanavyoapa kuilinda Katiba?
Chadema ya Mbowe ilijaa mamluki.Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba ameonekana leo katika Mkutano Mkuu wa CCM jijini Dodoma akiwa amevalia sare za chama hicho.
Makamba ni miongoni mwa wabunge 19 waliofungua kesi mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama wa CHADEMA.
View attachment 3349786View attachment 3349787