Tetesi: Mbunge wa Geita Mhe. Msukuma Achukuliwa Mkojo ili ukapimwe kwa Mkemia Mkuu

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,903
Habari kutokea Geita zinasema Mbunge wa Jimbo hilo Msukuma amechukuliwa Mkojo ukapimwe, hii nikutaka kujua viashiria vya uchochezi ambavyo vinasababishwa na matumizi ya dawa za kulivya.

Hatua hii imekuja baada ya kufuatilia utetezi wa matumizi ya Bangi uliofanywa na mbunge huyo bungeni hivyo polisi wanafwatilia uhusika wake kwenye bangi
 
Huo ni usanii tu, wanajaribu kuhalalisha vitendo alivyokuwa anafanyiwa Lissu
 
Aisee mwaka huu kazi tunayo.....

Si wanaccm wala si Ukawa, mradi wewe uwe ni mpinzani wa Baba Jesca, basi vipimo hivyo ni muhimu kwako!
 
Kuna kasub-topic ka chemistry kapo pale form two kama sikosei kanaitwa 'balancing chemical equation'
Kama hakakukuelea huwezi kubalance simple equation kama hii properly
kama wewe si mwandishi wala huna taaluma hii basi kukuelewesha itachukuwa mda sana
 
Habari kutokea Geita zinasema Mbunge wa Jimbo hilo Msukuma amechukuliwa Mkojo ukapimwe, hii nikutaka kujua viashiria vya uchochezi ambavyo vinasababishwa na matumizi ya dawa za kulivya.

Hatua hii imekuja baada ya kufuatilia utetezi wa matumizi ya Bangi uliofanywa na mbunge huyo bungeni hivyo polisi wanafwatilia uhusika wake kwenye bangi
Tulishasema wakitoka kwa wapinzani wataanza kutafunana wenyewe .
 
Habari kutokea Geita zinasema Mbunge wa Jimbo hilo Msukuma amechukuliwa Mkojo ukapimwe, hii nikutaka kujua viashiria vya uchochezi ambavyo vinasababishwa na matumizi ya dawa za kulivya.

Hatua hii imekuja baada ya kufuatilia utetezi wa matumizi ya Bangi uliofanywa na mbunge huyo bungeni hivyo polisi wanafwatilia uhusika wake kwenye bangi
Mbona Polisi Geita wanamzonga sana mbunge wangu? Hawajui usukumani bangi ni halali kwa hiyo kama watamkuta navyo watamnyang'anya ubunge sisi tulimchagua tukimjua hana elimu na si ajabu ni mchomaji kila anatosha
 
Sigineeee! What what? Chinekeeeeee! Yesu utarudi lini? Watu wako wanaangamia kwa kukosa maarifa!
 
Back
Top Bottom