Tetesi: Mbunge wa Geita Mhe. Msukuma Achukuliwa Mkojo ili ukapimwe kwa Mkemia Mkuu

Tetesi: Mbunge wa Geita Mhe. Msukuma Achukuliwa Mkojo ili ukapimwe kwa Mkemia Mkuu

Huyu jamaa si alisema bangi iruhusiwe, itakuwa ni mtumiaji mzuri tuu
 
Habari kutokea Geita zinasema Mbunge wa Jimbo hilo Msukuma amechukuliwa Mkojo ukapimwe, hii nikutaka kujua viashiria vya uchochezi ambavyo vinasababishwa na matumizi ya dawa za kulivya.

Hatua hii imekuja baada ya kufuatilia utetezi wa matumizi ya Bangi uliofanywa na mbunge huyo bungeni hivyo polisi wanafwatilia uhusika wake kwenye bangi
Hadithi za kusadikika
 
Aisee mwaka huu kazi tunayo.....

Si wanaccm wala si Ukawa, mradi wewe uwe ni mpinzani wa Baba Jesca, basi vipimo hivyo ni muhimu kwako!

We usiingie mkenge huyo ni binamu yake Jesca ni sarakasi na sinema tu za kuficha uso tontoo asihadhilike kwa kuua upinzani.
 
Back
Top Bottom