Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ktk akili ya kawaida mwandishi anapaswa kuhoji juu ya uhalisia wa anachotaka kuwasilisha.kama wewe si mwandishi wala huna taaluma hii basi kukuelewesha itachukuwa mda sana
Safi, hii inapendeza sana.Tulishasema wakitoka kwa wapinzani wataanza kutafunana wenyewe .
Uongo mtupu kama ule uongo wenu wa Nyalandu kuitwa CC'...Bawacha bhana...
Eti huyu naye ni mwandishi wa habari!!! Profession imeingiliwa na makanjanja!!Habari kutokea Geita zinasema Mbunge wa Jimbo hilo Msukuma amechukuliwa Mkojo ukapimwe, hii nikutaka kujua viashiria vya uchochezi ambavyo vinasababishwa na matumizi ya dawa za kulivya.
Hatua hii imekuja baada ya kufuatilia utetezi wa matumizi ya Bangi uliofanywa na mbunge huyo bungeni hivyo polisi wanafwatilia uhusika wake kwenye bangi