Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Ulizia kwa wausika ndio utajua story imebalance au baado sijahukumu nitaarifa sasa hapo akijabalance nini tumia taaluma vizuriSpinning doctors in balancing the story
Kuna kasub-topic ka chemistry kapo pale form two kama sikosei kanaitwa 'balancing chemical equation'Ulizia kwa wausika ndio utajua story imebalance au baado sijahukumu nitaarifa sasa hapo akijabalance nini tumia taaluma vizuri
Huo ni usanii tu, wanajaribu kuhalalisha vitendo alivyokuwa anafanyiwa LissuHabari kutokea Geita zinasema Mbunge wa Jimbo hilo Msukuma amechukuliwa Mkojo ukapimwe, hii nikutaka kujua viashiria vya uchochezi ambavyo vinasababishwa na matumizi ya dawa za kulivya.
Hatua hii imekuja baada ya kufuatilia utetezi wa matumizi ya Bangi uliofanywa na mbunge huyo bungeni hivyo polisi wanafwatilia uhusika wake kwenye bangi
Hujamuelewa vizuri, wanaobalance story ni Polisi ili ionekane sio kwa Lissu tu bali hata wabunge wa ccmUlizia kwa wausika ndio utajua story imebalance au baado sijahukumu nitaarifa sasa hapo akijabalance nini tumia taaluma vizuri
Hongera Mkuu kwa kupiga hatua mbili mbele.Huo ni usanii tu, wanajaribu kuhalalisha vitendo alivyokuwa anafanyiwa Lissu
kama wewe si mwandishi wala huna taaluma hii basi kukuelewesha itachukuwa mda sanaKuna kasub-topic ka chemistry kapo pale form two kama sikosei kanaitwa 'balancing chemical equation'
Kama hakakukuelea huwezi kubalance simple equation kama hii properly
Tulishasema wakitoka kwa wapinzani wataanza kutafunana wenyewe .Habari kutokea Geita zinasema Mbunge wa Jimbo hilo Msukuma amechukuliwa Mkojo ukapimwe, hii nikutaka kujua viashiria vya uchochezi ambavyo vinasababishwa na matumizi ya dawa za kulivya.
Hatua hii imekuja baada ya kufuatilia utetezi wa matumizi ya Bangi uliofanywa na mbunge huyo bungeni hivyo polisi wanafwatilia uhusika wake kwenye bangi
wanajifunika na viganja vya mikono huku wakisema wamejifichaHujamuelewa vizuri, wanaobalance story ni Polisi ili ionekane sio kwa Lissu tu bali hata wabunge wa ccm
Mbona Polisi Geita wanamzonga sana mbunge wangu? Hawajui usukumani bangi ni halali kwa hiyo kama watamkuta navyo watamnyang'anya ubunge sisi tulimchagua tukimjua hana elimu na si ajabu ni mchomaji kila anatoshaHabari kutokea Geita zinasema Mbunge wa Jimbo hilo Msukuma amechukuliwa Mkojo ukapimwe, hii nikutaka kujua viashiria vya uchochezi ambavyo vinasababishwa na matumizi ya dawa za kulivya.
Hatua hii imekuja baada ya kufuatilia utetezi wa matumizi ya Bangi uliofanywa na mbunge huyo bungeni hivyo polisi wanafwatilia uhusika wake kwenye bangi