Mbunge wa Geita Vijijini atunukiwa Udaktari wa heshima, sasa kuitwa Dkt. Joseph Kasheku

Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma leo Jumapili jijini Dodoma, anatunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi kutoka Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani. Amesema “hiki ni chou cha kimataifa na sasa naitwa Dk. Msukuma.”
 
Hivi Hamna udaktari wa ubumbumbu🤔.
 
Rekebisha sio Phd bali ni udaktari wa heshima. Phd ni lazima uandike andiko la kiutafiti ulitete mbele ya maprofesa kulingana na vigezo vya nadharia ulizotumia lipite ndio upate PhD. Kifupi PhD lazima uisomee,udaktari wa heshima unatunukiwa na chuo kikuu kinachotambulika duniani kulingana na kazi fulani ulioifanya kwa jamii ikakupa heshima
 
Bado anaendelea na msimamo wake kwamba Madokta na Maprofesa wa nchi hii ni VICHWA MAJI??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…