Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo kapewa na chuo cha USA
Degree moja ni ukilaza! Sasa hivi first degree ni sawa na darasa la 7 la mwaka 1970. Soma kijanaYa nini..uoga wa maisha, degree moja inatosha kuonyesha usomi wako
😄😄😄 Samahani mkuu,huyo uliyemtaja ndio mkuu wa wote wale niliowataja.Unahakika na kindi uliloliweka pamoja, mbona sijamwona Leprofeser mzee wa buguruni🤔.
Ana tofauti gani na Jakaya Kikwete?,acha wivu wa kikeVyuo vikuu vinafanya ujinga ktk elimu. Msukuma ni wa kumpa Honorary Doctorate kweli??
Wanadhaliisha elimu za watu na maana nzma ya honorary degree.
From.std.7.to.PhD holder.Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma leo jumapili jijini Dodoma, anatunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi kutoka Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani. “hiki ni chuo cha kimataifa na sasa naitwa Dkt. Msukuma.” https://t.co/Xq4n4BrSAl
View attachment 2033988
Wacha wajuzi tuliopo Marekani tukichimbe hiki Chuo mguu kwa mguuVyuo vikuu vinafanya ujinga ktk elimu. Msukuma ni wa kumpa Honorary Doctorate kweli??
Isije ikawa degree za kihiyo styleMbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma leo jumapili jijini Dodoma, anatunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi kutoka Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani. “hiki ni chuo cha kimataifa na sasa naitwa Dkt. Msukuma.” https://t.co/Xq4n4BrSAl
View attachment 2033988
Honourable degree bila mwana kupiga thesis na aka defend tena kupitia bachelor ama master ni usweke tu.Sio kila kitu upinge, huu huwa ni dkt hewa yaani wa heshima usimaind sana.
Na Msukuma pamoja na kukosa elimu anawapelekesha wenye elimu
RubbishMbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma leo jumapili jijini Dodoma, anatunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi kutoka Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani. “hiki ni chuo cha kimataifa na sasa naitwa Dkt. Msukuma.” https://t.co/Xq4n4BrSAl
View attachment 2033988
So what?Honourable degree bila mwana kupiga thesis na aka defend tena kupitia bachelor ama master ni usweke tu.
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Mchina anaekutengenezea barabara na madaraja hana hata hiyo degree moja...huu mfumo wa kukaa sana vyuon na kujiita prof au dk au eng..ni bogas, amkeni bongo lalaDegree moja ni ukilaza! Sasa hivi first degree ni sawa na darasa la 7 la mwaka 1970. Soma kijana
Keshapata. Unataka nini?
Wacha ubwege wewe matagaKeshapata. Unataka nini?
Kumbe wewe hujui maana ya elimu! Acha ukilazaMchina anaekutengenezea barabara na madaraja hana hata hiyo degree moja...huu mfumo wa kukaa sana vyuon na kujiita prof au dk au eng..ni bogas, amkeni bongo lala