samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
hii mambo imesababishwa na wasomi wetu hasa walioko kwenye siasa na mifumo kushindwa kuonyesha maana ya elimu waliyosoma kwa vitendo matokeo yake jamii kufikia kudharau elimu na kuona sio kitu maana haina msaada zaidi ya kukufanya kuwa mwanasiasa na kubwabwaja tu pale mjengoni...
Msukuma kwa muda aliokaa bungeni kila akijipima ubavu na wasomi walioko mule anaona wako sawa tu kichwani hakuna namna kaamua kujitunuku tu hiyo heshima....
Msukuma kwa muda aliokaa bungeni kila akijipima ubavu na wasomi walioko mule anaona wako sawa tu kichwani hakuna namna kaamua kujitunuku tu hiyo heshima....