Mbunge wa Hai (CCM) Saasisha Mafuwe adai kumtumia salamu Mbowe, asema wao wamemuomba Mungu ili awasamehe

Kwa vile yeye na genge lake wameamua kuwa upande wa CCM "C", huku ACT wakichagua kuwa CCM "B" kule Zanzibar basi hamna tatizo. Mpinzani wa kweli alikuwa Mtikila peke yake nchini hii.
Ujinga ni kipaji. Na akili sio matako kuwa kila mtu anayo.
 
Bado kuna wengi sn watatubu
 
Mbowe ukimwangalia kwa makini na kutafakari uweza wa Mungu, utaona kama vile sio wa kurudi tena Hai kama Mbunge.
Huyu kiongozi anaweza kuleta hadithi ya Zambia kutokea na hapa.
Maandishi haya yatunze utanikumbuka baadae
Nakubaliana na wewe mkuu 100%
 
Mbowe ukimwangalia kwa makini na kutafakari uweza wa Mungu, utaona kama vile sio wa kurudi tena Hai kama Mbunge.
Huyu kiongozi anaweza kuleta hadithi ya Zambia kutokea na hapa.
Maandishi haya yatunze utanikumbuka baadae
Ohooooo !!!!
 
Wachaga wote watamkimbia Ole sabaya!

Dogo alijisahau sana eti na yeye alitaka kugombea ubunge wa jimbo la Hai.
Mpumbavu sana yule. Ati aliiga makonda style!
Namuombea kwa mungu agongwe 30 mingine.
Na atafungwa tu! Halafu tunahamia kesi nyingine anakula 30 na nyingine
 
Wachaga wote watamkimbia Ole sabaya!

Dogo alijisahau sana eti na yeye alitaka kugombea ubunge wa jimbo la Hai.
Hii ya ubunge sikuwahi kuisikia mkuu, dogo alijihisi yeye ni lidude flani hivi kumbe.....
 
Nilikuwa na kerubi jana kasema mungu hajamsamehe,apambane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…