Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
[emoji38][emoji38][emoji38]Akae mkao wa kula,avae na kanga Moko,aliyemuweka hapo,ameishaondoka,sasa mwanaume FAM amekuja!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38]Akae mkao wa kula,avae na kanga Moko,aliyemuweka hapo,ameishaondoka,sasa mwanaume FAM amekuja!
Mbowe ukimwangalia kwa makini na kutafakari uweza wa Mungu, utaona kama vile sio wa kurudi tena Hai kama Mbunge.Huyu kishajua mwenye jimbo karudi
Ujinga ni kipaji. Na akili sio matako kuwa kila mtu anayo.Kwa vile yeye na genge lake wameamua kuwa upande wa CCM "C", huku ACT wakichagua kuwa CCM "B" kule Zanzibar basi hamna tatizo. Mpinzani wa kweli alikuwa Mtikila peke yake nchini hii.
Alidhani wachaga ni wajinga kama yeyeWachaga wote watamkimbia Ole sabaya!
Dogo alijisahau sana eti na yeye alitaka kugombea ubunge wa jimbo la Hai.
Bado kuna wengi sn watatubuMh Saashisha, ambaye alijulikana kama Team Sabaya, kutokana na kuwa bega kwa bega na Sabaya kwenye mambo yote, leo amedai hadharani kwamba amemtumia salamu Freeman Mbowe siku ile ile aliyotoka gerezani, huku akifunguka kwamba Wao wamekwishatubu kwa Mungu ili awasamehe.
Ikiwa kama kulikuwa na matatizo yoyote ama kama walimuumiza yoyote wakati wa Uchaguzi, ameendelea kufunguka kwamba anaamini Mungu amewasamehe.
Ameyasema hayo na kunukuliwa na vyombo vya habari katika ziara ya kusikiliza kero za wananchi kwenye jimbo la Hai.
Bali bado hatujajua kama Msamaha huu unamhusu pia aliyekuwa OCD wa Hai kamanda Mpina au la.
Nakubaliana na wewe mkuu 100%Mbowe ukimwangalia kwa makini na kutafakari uweza wa Mungu, utaona kama vile sio wa kurudi tena Hai kama Mbunge.
Huyu kiongozi anaweza kuleta hadithi ya Zambia kutokea na hapa.
Maandishi haya yatunze utanikumbuka baadae
Ohooooo !!!!Mbowe ukimwangalia kwa makini na kutafakari uweza wa Mungu, utaona kama vile sio wa kurudi tena Hai kama Mbunge.
Huyu kiongozi anaweza kuleta hadithi ya Zambia kutokea na hapa.
Maandishi haya yatunze utanikumbuka baadae
Mpumbavu sana yule. Ati aliiga makonda style!Wachaga wote watamkimbia Ole sabaya!
Dogo alijisahau sana eti na yeye alitaka kugombea ubunge wa jimbo la Hai.
Hii ya ubunge sikuwahi kuisikia mkuu, dogo alijihisi yeye ni lidude flani hivi kumbe.....Wachaga wote watamkimbia Ole sabaya!
Dogo alijisahau sana eti na yeye alitaka kugombea ubunge wa jimbo la Hai.
Wachaga wote watamkimbia Ole sabaya!
Dogo alijisahau sana eti na yeye alitaka kugombea ubunge wa jimbo la Hai.