Mbunge wa Hai (CCM) Saasisha Mafuwe adai kumtumia salamu Mbowe, asema wao wamemuomba Mungu ili awasamehe

Mbunge wa Hai (CCM) Saasisha Mafuwe adai kumtumia salamu Mbowe, asema wao wamemuomba Mungu ili awasamehe

Kwa vile yeye na genge lake wameamua kuwa upande wa CCM "C", huku ACT wakichagua kuwa CCM "B" kule Zanzibar basi hamna tatizo. Mpinzani wa kweli alikuwa Mtikila peke yake nchini hii.
Ujinga ni kipaji. Na akili sio matako kuwa kila mtu anayo.
 
Mh Saashisha, ambaye alijulikana kama Team Sabaya, kutokana na kuwa bega kwa bega na Sabaya kwenye mambo yote, leo amedai hadharani kwamba amemtumia salamu Freeman Mbowe siku ile ile aliyotoka gerezani, huku akifunguka kwamba Wao wamekwishatubu kwa Mungu ili awasamehe.

Ikiwa kama kulikuwa na matatizo yoyote ama kama walimuumiza yoyote wakati wa Uchaguzi, ameendelea kufunguka kwamba anaamini Mungu amewasamehe.

Ameyasema hayo na kunukuliwa na vyombo vya habari katika ziara ya kusikiliza kero za wananchi kwenye jimbo la Hai.

Bali bado hatujajua kama Msamaha huu unamhusu pia aliyekuwa OCD wa Hai kamanda Mpina au la.
Bado kuna wengi sn watatubu
 
Mbowe ukimwangalia kwa makini na kutafakari uweza wa Mungu, utaona kama vile sio wa kurudi tena Hai kama Mbunge.
Huyu kiongozi anaweza kuleta hadithi ya Zambia kutokea na hapa.
Maandishi haya yatunze utanikumbuka baadae
Nakubaliana na wewe mkuu 100%
 
Mbowe ukimwangalia kwa makini na kutafakari uweza wa Mungu, utaona kama vile sio wa kurudi tena Hai kama Mbunge.
Huyu kiongozi anaweza kuleta hadithi ya Zambia kutokea na hapa.
Maandishi haya yatunze utanikumbuka baadae
Ohooooo !!!!
 
Wachaga wote watamkimbia Ole sabaya!

Dogo alijisahau sana eti na yeye alitaka kugombea ubunge wa jimbo la Hai.
Mpumbavu sana yule. Ati aliiga makonda style!
Namuombea kwa mungu agongwe 30 mingine.
Na atafungwa tu! Halafu tunahamia kesi nyingine anakula 30 na nyingine
 
Wachaga wote watamkimbia Ole sabaya!

Dogo alijisahau sana eti na yeye alitaka kugombea ubunge wa jimbo la Hai.
Hii ya ubunge sikuwahi kuisikia mkuu, dogo alijihisi yeye ni lidude flani hivi kumbe.....
 
Nilikuwa na kerubi jana kasema mungu hajamsamehe,apambane
 
Back
Top Bottom