Mbunge wa Hai Mjini: Wanaume wote wakopeshwe mikopo ya 10%

Mbunge wa Hai Mjini: Wanaume wote wakopeshwe mikopo ya 10%

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Mbunge wa Hai Mjini, Saashisha Mafuwe ameiomba Serikali kuwakopesha wanaume wote mikopo ya Halmashauri ya asilimia 10, ili iwasaidie katika shughuli za kimaisha.

Back
Top Bottom