NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Ni ukweli mtupu kwamba wananchi ndiyo waliokuajiri. Huwezi kuwatisha na kuwakemea kwenye mikutano yako pale wanapoibuka na hoja zenye mashiko!
Jibu hoja za wananchi acha kuwatishia eti utawaweka rumande! Kama huna uwezo wa kujibu hoja za wananchi usifanye mikutano, simple tu!
Tunajua umeamua kujenga sheli za mafuta kwenye kila kata jimboni kwako. Pambania miundombinu sasa barabara zipitike vizuri!Nashangaa hadi sasa hakuna barabara uliyoipambania kwa wananchi wako!
Siasa sio uadui, ni utumishi kwa wananchi kama hutaki kuwatumikia waachie wanyamwezi waamue wa kuwaongoza nawe urudi kwenu Bukoba!
Rudi kwenye misingi ya uwajibikaji kama chama kitakavyo na si vinginevyo.
Nimeyatoa yaliyonifikia mezani, kazi kwako kuamua kuwatumikia wananchi au kujiuzulu ubunge uchaguzi urudiwe!
"Rasimu ya warioba irudi mezani sasa iwe kaatiba mpya!"