GE2025 Mbunge wa Ilemela Angelina Mabula: Siamini Fedha inaweza kununua Ubunge

GE2025 Mbunge wa Ilemela Angelina Mabula: Siamini Fedha inaweza kununua Ubunge

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Siamini kama fedha inaweza kununua ubunge, 2015 kulikua na mtu anajiita ‘wa soda kubwa’ alikua anatoa sana fedha lakini nilipata kura nyingi na yeye hakufika hata nusu yake,” Mbunge wa Ilemela 2015 - 2025, Dkt Angelina Mabula kupitia One on One

Soma pia:

Chanzo: Wasafi Tv
 
Awe serious, anajifanya hajui yanayoendelea
 
Fedha zinamwagwa kwa wanachuo pale SAUT plus jezi za Mpira yeye Fedha anamaanisha cash tu??
 
Anachanga ma file mgombea ubunge wa kike hatoi pesa, ila ni connection au utelezi.

Mgombea ubunge wa kiuume ndio kwake kutopesa ni lazima alafu connection inafuataa.
 
Back
Top Bottom