5 tena.Mheshimiwa Mbunge kulikuwa na haja gani ya kuweka muhuri mkubwa hivyo?
Nadhani hata usingeandika chochote wananchi wangekumbuka mchango wako
Kuweka hilo bango kwa sisi wengine ni fedheha, sawa tu na wale wanaotujengea matundu mawili ya choo na wanaandika kibao 'Donated by.....'
Gharama za kuweka huo muhuri ungeweza kuongeza mashati kadhaa.
kuna wengine wanamsifia mbunge wao kwa kula kwenye magenge/Majukumu ya mbunge yanajulikana; hiyo ni miongoni mwa majukumu yake? Cheap politics!
Mheshimiwa Mbunge kulikuwa na haja gani ya kuweka muhuri mkubwa hivyo?
Nadhani hata usingeandika chochote wananchi wangekumbuka mchango wako
Kuweka hilo bango kwa sisi wengine ni fedheha, sawa tu na wale wanaotujengea matundu mawili ya choo na wanaandika kibao 'Donated by.....'
Gharama za kuweka huo muhuri ungeweza kuongeza mashati kadhaa.
Na mamlaka zimefyata mkia😰Masharti ya msaada kwenye mashati.