TANZIA Mbunge wa Jimbo la Konde Zanzibar, Khatib Haji afariki Dunia

TANZIA Mbunge wa Jimbo la Konde Zanzibar, Khatib Haji afariki Dunia

Mbunge wa Jimbo la Konde Ndugu, Khatib Haji wa Chama cha ACT Wazalendo, amefariki Dunia. Umauti umemfika katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili akipatiwa matibabu Alfajiri ya leo.

Khatibu aliwahi kuwa Mbunge wa Konde kupitia Chama cha Wananchi CUF mwaka 2010 hadi 2020. Alishawahi kushika nafasi ya Waziri wa Kilimo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mwaka 1984 hadi 1987

Katika Bunge hili la 12, Khatib amekuwa Mbunge wa tatu kufariki tangu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. January 21 2021 Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Manyara, Martha Umbulla alifariki dunia na Feb 12, 2021 Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mkoa wa Kigoma Atashasta Nditiye alifariki Dunia baada ya kupata ajali ya gari.

View attachment 1791420
Mbunge wa Jimbo la Konde Ndugu, Khatib Haji

View attachment 1791491
Nini Tena matatizo ya upumuaji yamerudi Tena?
 
Pole kwa familia yake na wa-Zanzibar kwa ujumla.

Zitto amekuwa mnafki na amekuwa kama tissue ya CCM, ni ngumu kumpa pole Zitto, labda watu wengine. Ndiye anachangia kuua upinzani Tanzania na kuendelea kuongozwa kimabavu.
we mbwa kama upinzani unaokufa ni huu wa chama cha ukoo/chadema ufe hata leo. we want upinzani but genuine upinzani sio huo utopolo.
 
Back
Top Bottom