Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Alikuwa mchangiaji mzuri sana bungeni,poleni wabunge,poleni Watanzania wote,poleni ndugu wa marehemu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kushinda kwenyewe bwashee!hawakushinda ila walipewa kwa huruma ya CCM,
Chadema imekufa???toka lini mkuu??nijuavyo aliedhamilia kuiuwa Chadema yeye ndio katangulia,wewe uko wapi??chama kiko mioyoni mwa watu.Msimtwishe Zitto zigo la kujifia kwa chadrama
Wape familiaPole kwa familia yake na wa-Zanzibar kwa ujumla.
Zitto amekuwa mnafki na amekuwa kama tissue ya CCM, ni ngumu kumpa pole zitto, labda watu wengine. Ndiye anachangia kuua upinzani Tanzania na kuendelea kuongozwa kimabavu.
Hiyo wave ya tatu sasa, tena mbaya zaidi ni hii ya India inaondoa watu vibaya sana.Kuna dalili zote Second Wave imeshaanza, uzuri Rais Samia kasema tupambane na huu Ugonjwa Kitaalamu na sio Kisiasa.
TheMbunge wa Jimbo la Konde Ndugu, Khatib Haji wa Chama cha ACT Wazalendo, amefariki Dunia. Umauti umemfika katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili akipatiwa matibabu Alfajiri ya leo.
Khatibu aliwahi kuwa Mbunge wa Konde kupitia Chama cha Wananchi CUF mwaka 2010 hadi 2020. Alishawahi kushika nafasi ya Waziri wa Kilimo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mwaka 1984 hadi 1987
Katika Bunge hili la 12, Khatib amekuwa Mbunge wa tatu kufariki tangu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. January 21 2021 Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Manyara, Martha Umbulla alifariki dunia na Feb 12, 2021 Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mkoa wa Kigoma Atashasta Nditiye alifariki Dunia baada ya kupata ajali ya gari.
Zipo wapi hizi takwimu?kwenye tovuti ya wizara au?
kwani COVID kapatia wapi?Apumzike kwa amani.
Wenye lao jambo watasema wanakufa ili kuchagiza ilepatwe chanjo.
Umri umeenda Sana, alikuwa waziri 1984 Sasa Ana umri gani? HAKUNA kuishi milele.Hili bunge la awamu hii mbona wazee wanadondoka sana!!
Hizi ni takwimu ambazo zinatoka moja kwa moja kutoka Shirika la Afya duniani, yaani WHO.Zipo wapi hizi takwimu?kwenye tovuti ya wizara au?
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
OK,asante kwa maelezoHizi ni takwimu ambazo zinatoka moja kwa moja kutoka Shirika la Afya duniani, yaani WHO.
Kuna Website Link Home ambayo unaweza kujiunga na kupata taarifa hizi kupitia namba yako ya simu ya WhatsApp.
Sijafahamu vizuri kwa upande wa TANZANIA, hali ni ikoje! Jinsi ya kujikinga na kupata taarifa mpya dhidi ya maambukizi ya COVID-19.
Lakini mimi binafsi nilipata hii huduma nikiwa Uwanja wa Ndege wa Entebbe nikijaribu kwenda Johannesburg [[emoji3526][emoji3526][emoji3526]]. Ilinibidi nisitishe safari yangu kwa sababu ya COVID-19.
Jaribu tena hii Website Link ya WHO Avaa WhatsApp ambayo ni mfumo wa kiotomatiki. Unaweza kujiunga na kupata taarifa mpya dhidi ya maambukizi ya COVID-19 kupitia namba yako ya simu ya WhatsApp.
Kitaalamu ugonjwa huu unapambanaje nao? Maana kote duniani utaalamu umesalimu amriKuna dalili zote Second Wave imeshaanza, uzuri Rais Samia kasema tupambane na huu Ugonjwa Kitaalamu na sio Kisiasa.