TANZIA Mbunge wa Jimbo la Konde Zanzibar, Khatib Haji afariki Dunia

TANZIA Mbunge wa Jimbo la Konde Zanzibar, Khatib Haji afariki Dunia

Tangu jana hadi leo kichwa kinauma tu...
 
Mbunge wa Jimbo la Konde Ndugu, Khatib Haji wa Chama cha ACT Wazalendo, amefariki Dunia.

Umauti umemfika katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili akipatiwa matibabu Alfajiri ya leo.
View attachment 1791408
Kuna Mtu alivyo Mnafiki ( Ndumilakuwili ) na sasa hana tena Ubunge aliouzoea kwa muda mrefu nina uhakika safari hii atagombea hilo Jimbo kwa Tiketi ya Chama chake anachokimiliki Mwenyewe japo Makazi yake ya Kutukuka ni Mkoani Kigoma kwa Watani zangu Waha.
 
Hili bunge la awamu hii mbona wazee wanadondoka sana!!
 
Innaa lillah wainnaa ilayh Raj uun.
Sisi ni wa mwenyeziMungu na hakika ya kwake tutarejea.

Tuishi kwa kupendana na kuheshimiana.

Ili siku moja mimi au wewe tukiondoka kwenye uso huu wa dunia tuwe na mazuri mengi ya kuungumziwa, kuliko maovu ingawa hakuna mkamilifu.
 
Kuna Mtu alivyo Mnafiki ( Ndumilakuwili ) na sasa hana tena Ubunge aliouzoea kwa muda mrefu nina uhakika safari hii atagombea hilo Jimbo kwa Tiketi ya Chama chake anachokimiliki Mwenyewe japo Makazi yake ya Kutukuka ni Mkoani Kigoma kwa Watani zangu Waha.
Innaa lillah wainnaa ilayh Raj uun.
 
Mbunge wa Jimbo la Konde Ndugu, Khatib Haji wa Chama cha ACT Wazalendo, amefariki Dunia.

Umauti umemfika katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili akipatiwa matibabu Alfajiri ya leo.

Khatib amekuwa Mbunge wa tatu kufariki tangu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. January 21 2021 Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Manyara, Martha Umbulla alifariki dunia na Feb 12, 2021 Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mkoa wa Kigoma Atashasta Nditiye alifariki Dunia baada ya kupata ajali ya gari
View attachment 1791420
Innaa lillah wainnaa ilayh Raj uun.
 
Back
Top Bottom