83LORY MILIONI 18???
Kumtegemea mbunge afanye kila kitu kisa tu tumempa kura hiyo sio sawa.
Kumsaidia yule mama ni jukumu la kijamii(yeyote anaweza kusaidia). Viongozi wa serikali katika eneo husika wana wajibu wa kufanikisha zoezi la kutoa hilo gari.
LORY MILIONI 18???
Hivi serikali haina kitengo cha maafa?Mkuu wa mkoa na Wilaya
Watanzania mlio wengi hamzijui au hamtambui majukumu ya wabunge.Kuna wakati wabunge sijui wanawaza nini hawajui kujichanganya na matatizo japo madogo tu ya wananchi , tarehe 5 mwezi huu , katika daraja la mto wami lori lilitumbukia mtoni na dereva wake , dereva alifanikiwa kutolewa na wataalam wa kuogelea , lakini lori bado mpaka leo lipo ndani ya maji , kwa mujibu wa mmililiki wa lori Mama mmoja ambaye ni mzee kwa kweli gari hili alilinunua baada ya kudunduliza hela zake na kupata kiasi cha milioni 18 akaamua kununua hilo gari ikiwa ndio safari yake ya kwanza likapata ajali , toka ajali itokee yule mama kapiga kambi pale wami akiomba msaada , mpaka jana kiasi cha milioni mbili kilichangwa na wamama ili kumsaidia , na zinaitajika kiasi cha milioni tano ili kutoa lori hilo katika mto.
NIMSHAURI MBUNGE WA ENEO HILO FANYA JAMBO KUMSAIDIA HUYO MAMA HATA KAMA SIO MPIGA KURA WAKO , ILA AJALI IMETOKEA KATIKA ENEO LAKO.
Inaelekea ndiyo biashara yake ya kwanzaTukiacha huruma tulizojaaliwa watz huyu mama anahutaji mshauri Kwanza wa Mambo ya biashara! Haingii akilini umenunua chombo kwa gharama kubwa tu lakini ukakosa 5m! Na ndo ameanza biashara anasema!
Point yangu hivyo vyombo vya Moto havina guarantee ..je scania lingekula mzinga angeweza kuafford hizo gharama walau kurudisha ile show ya mbele?hajajipqnga hata kidg!
La mwisho sio mzee huyu mama! Ni wa makamo!
Hiyo haina kiki ya siasa, ndio ujue binadamu tulivyo! Pole mama mjasiriamali!Kuna wakati wabunge sijui wanawaza nini hawajui kujichanganya na matatizo japo madogo tu ya wananchi , tarehe 5 mwezi huu , katika daraja la mto wami lori lilitumbukia mtoni na dereva wake , dereva alifanikiwa kutolewa na wataalam wa kuogelea , lakini lori bado mpaka leo lipo ndani ya maji , kwa mujibu wa mmililiki wa lori Mama mmoja ambaye ni mzee kwa kweli gari hili alilinunua baada ya kudunduliza hela zake na kupata kiasi cha milioni 18 akaamua kununua hilo gari ikiwa ndio safari yake ya kwanza likapata ajali , toka ajali itokee yule mama kapiga kambi pale wami akiomba msaada , mpaka jana kiasi cha milioni mbili kilichangwa na wamama ili kumsaidia , na zinaitajika kiasi cha milioni tano ili kutoa lori hilo katika mto.
NIMSHAURI MBUNGE WA ENEO HILO FANYA JAMBO KUMSAIDIA HUYO MAMA HATA KAMA SIO MPIGA KURA WAKO , ILA AJALI IMETOKEA KATIKA ENEO LAKO.
Sio lazima kutoa hela kaka, hata kuhamasisha serikali na wadau wengine kumsaidia ingekuwa support kubwa sana!Kumtegemea mbunge afanye kila kitu kisa tu tumempa kura hiyo sio sawa.
Kumsaidia yule mama ni jukumu la kijamii(yeyote anaweza kusaidia). Viongozi wa serikali katika eneo husika wana wajibu wa kufanikisha zoezi la kutoa hilo gari.
Sawa kabisa,watu wengine hujiuliza ni nani aliyelipaka anga rangi ya blue na alisimama wapi? Maana huo ndiyo ukomo wao!Sababu halizajiba njia na magar yanapita kama kawaida[emoji51]