Mbunge wa Jimbo lilipo daraja la Wami, msaidie huyu mama

Mbunge wa Jimbo lilipo daraja la Wami, msaidie huyu mama

Tuanze na huyo mwenye breakdown amsaidie kulitoa kama msaada wake kwenye jamii
Kumtegemea mbunge afanye kila kitu kisa tu tumempa kura hiyo sio sawa.
Kumsaidia yule mama ni jukumu la kijamii(yeyote anaweza kusaidia). Viongozi wa serikali katika eneo husika wana wajibu wa kufanikisha zoezi la kutoa hilo gari.
 
Back
Top Bottom