Leo asubuhi radio abood walikua na kipindi maalumu Cha bima! Nilibak kushangaa. Eti nyumba Kali kbs bima yake ni 118000/=...dah...kumbe tunajitisha tu kwa kivuli chetu!
Kumtegemea mbunge afanye kila kitu kisa tu tumempa kura hiyo sio sawa.
Kumsaidia yule mama ni jukumu la kijamii(yeyote anaweza kusaidia). Viongozi wa serikali katika eneo husika wana wajibu wa kufanikisha zoezi la kutoa hilo gari.