Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,243
- 3,047
Kila sku kenya kenya duuh hatare sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio suala la ujanja ila ni suala la chances, unaambiwa gari iliyokuwa na familia yake waliiona gari ya washambuliaji hii haikupi uono kuwa kama mlinzi mmoja angekuwa kwa hiyo gari kazi yao isingekuwa rahisi kama ilivyotokea??!!!!
Hivi haiwezekani Rais akatumia grand limo ili akae na walinzi wake wote kwenye gari moja???!!!!
oooh rest on peace.ila very sad
Ni walinzi wa kawaida waliokuwa wanamlinda mtu wa kawaida, ingawa alikuwa na maadui wasio wa kawaida !
Assassins wanasoma ramani za nyendo zako muda mrefu, inawezekana hata hapo mahali alipokuwa ameenda alikuwa na mtu karibu yake anauza data !..........ndio maana hutegemei makosa.
Tafuta clip ya You Tube kwenye jicho pevu uone mauaji ya yule Sheikh wa Mombasa 'Abdi Rogo' yalivyofanywa. Mpaka barabara ilifungwa bila yeye kujua ! OLESAIDIMU
Basi waitwe "waambata wa kiraia" na sio "body guards" maana kwangu haingii akilini mtu mwenye body guardskufanyiwa hayo aliyoyafanyiwa huki hao raia waliojipa kazi wasiyoijua wakiwa kama kuku ndani gari!!!
Huwezi kuwa na gari mbili walinzi wote ukawaatamia!!!!
If someone wants to kill you they will no matter what especially if they don't care whether they live or not.
Presidents, prime ministers, and other people of note who are more well protected have been assassinated all over the world.
So the fact of him getting assassinated doesn't surprise me that much.
However, I'll concede that it's not a good idea for the protectee and all of his/ her protectors to travel in the same vehicle.
But then again in this case we are not talking about a president or prime minister.
It was just a mere member of parliament.
I don't think they travel with a security motorcade and given the benefit(s) of the element of surprise I can see how the assassins could have been successful.
Waweza kuwa sawa ila assassination ni game of chance haswa hii ya close range, wauaji walijua vizuri labda juu wa uwezo wa waliokuwa wanamlinda, ndio maana inaonekana kashuka mmoja tu na kalash na akafanikiwa !!!
Pili suala la ulinzi naona lina aspect mbili, ya kwanza ni physical na ya pili ni psychological mtu anayeamini analindwa hujenga confy ya kuji expose akiamini yuko covered hili kwa kesi hii ndio limemuua huyu mbunge sababu angekuwa hana walinzi angekuwa na behaviour tofauti. . . . . .
Tatu, kama ni president au PM suala ni lile lile la kuwa alidhani analindwa ila haikuwa hivyo ndio maana nikasema gari iliyosimama ni "fixed target" laiti gari ingesimama basi trained personel angeshuka japo mmoja sio kukaa ndani. . . .so psychologically alikuwa anajua na anaona akilindwa lakini physically alikuwa vulnerable and exposed asingekuwa na walinzi angeogopa labda kusimama mwenyewe kwa news vendor na ingeweza kuwa ndio salama yake. . . ,Sixth sense aliiua kwa sababu alidhani analindwa!!!
Viongozi wanakufa yes ila wengi wanakufa kwa weakness ya security ring au misguided advance team, Kennedy alikuwa kwa open roof vehicle this was a total exposure na ilizua mjadala kwa detail yake. Je ni kweli alikuwa na mgogoro na IMF na WB, je haikuwa inside job??!!
Mama yuke wa Obama kajiuzuru kwa hiari, ni kweli detail ik weak??!! Au walimihujumu kutoka ndani??!! Yule jamaa aliruka fensi kesi yake ilikuwaje White house, kikosi cha mbwa hakikuwepo??!!!
Nadhani inapotokea assassination au attempt ya aina hiyo cha kwanza kuangaliwa ni weakness ya ulinzi kabla ya kujua nguvu ya mshambuliaji sababu walinzi wako arms akimbo 24 /7 so mshambuliaji anapata wapi gut ya ku ambush kama huyu sio snipping kumbuka ni combat kabisa!!!