Mbunge wa Kabete Nairobi, Mh. George Muchai auawa kwa kupigwa risasi

Sio suala la ujanja ila ni suala la chances, unaambiwa gari iliyokuwa na familia yake waliiona gari ya washambuliaji hii haikupi uono kuwa kama mlinzi mmoja angekuwa kwa hiyo gari kazi yao isingekuwa rahisi kama ilivyotokea??!!!!

Hivi haiwezekani Rais akatumia grand limo ili akae na walinzi wake wote kwenye gari moja???!!!!

Ni walinzi wa kawaida waliokuwa wanamlinda mtu wa kawaida, ingawa alikuwa na maadui wasio wa kawaida !
Assassins wanasoma ramani za nyendo zako muda mrefu, inawezekana hata hapo mahali alipokuwa ameenda alikuwa na mtu karibu yake anauza data !..........ndio maana hutegemei makosa.

Tafuta clip ya You Tube kwenye jicho pevu uone mauaji ya yule Sheikh wa Mombasa 'Abdi Rogo' yalivyofanywa. Mpaka barabara ilifungwa bila yeye kujua ! OLESAIDIMU
 
Last edited by a moderator:

Basi waitwe "waambata wa kiraia" na sio "body guards" maana kwangu haingii akilini mtu mwenye body guardskufanyiwa hayo aliyoyafanyiwa huki hao raia waliojipa kazi wasiyoijua wakiwa kama kuku ndani gari!!!

Huwezi kuwa na gari mbili walinzi wote ukawaatamia!!!!
 
If someone wants to kill you they will no matter what especially if they don't care whether they live or not.

Presidents, prime ministers, and other people of note who are more well protected have been assassinated all over the world.

So the fact of him getting assassinated doesn't surprise me that much.

However, I'll concede that it's not a good idea for the protectee and all of his/ her protectors to travel in the same vehicle.

But then again in this case we are not talking about a president or prime minister.

It was just a mere member of parliament.

I don't think they travel with a security motorcade and given the benefit(s) of the element of surprise I can see how the assassins could have been successful.
 
Waweza kuwa sawa ila assassination ni game of chance haswa hii ya close range, wauaji walijua vizuri labda juu wa uwezo wa waliokuwa wanamlinda, ndio maana inaonekana kashuka mmoja tu na kalash na akafanikiwa !!!

Pili suala la ulinzi naona lina aspect mbili, ya kwanza ni physical na ya pili ni psychological mtu anayeamini analindwa hujenga confy ya kuji expose akiamini yuko covered hili kwa kesi hii ndio limemuua huyu mbunge sababu angekuwa hana walinzi angekuwa na behaviour tofauti. . . . . .

Tatu, kama ni president au PM suala ni lile lile la kuwa alidhani analindwa ila haikuwa hivyo ndio maana nikasema gari iliyosimama ni "fixed target" laiti gari ingesimama basi trained personel angeshuka japo mmoja sio kukaa ndani. . . .so psychologically alikuwa anajua na anaona akilindwa lakini physically alikuwa vulnerable and exposed asingekuwa na walinzi angeogopa labda kusimama mwenyewe kwa news vendor na ingeweza kuwa ndio salama yake. . . ,Sixth sense aliiua kwa sababu alidhani analindwa!!!

Viongozi wanakufa yes ila wengi wanakufa kwa weakness ya security ring au misguided advance team, Kennedy alikuwa kwa open roof vehicle this was a total exposure na ilizua mjadala kwa detail yake. Je ni kweli alikuwa na mgogoro na IMF na WB, je haikuwa inside job??!!

Mama yuke wa Obama kajiuzuru kwa hiari, ni kweli detail ik weak??!! Au walimihujumu kutoka ndani??!! Yule jamaa aliruka fensi kesi yake ilikuwaje White house, kikosi cha mbwa hakikuwepo??!!!

Nadhani inapotokea assassination au attempt ya aina hiyo cha kwanza kuangaliwa ni weakness ya ulinzi kabla ya kujua nguvu ya mshambuliaji sababu walinzi wako arms akimbo 24 /7 so mshambuliaji anapata wapi gut ya ku ambush kama huyu sio snipping kumbuka ni combat kabisa!!!
 
Dah! nimeipenda hii analysis.
 
Waweza kuwa sawa ila assassination ni game of chance haswa hii ya close range, wauaji walijua vizuri labda juu wa uwezo wa waliokuwa wanamlinda, ndio maana inaonekana kashuka mmoja tu na kalash na akafanikiwa !!!

Hiyo nayo inawezekana kabisa na ndo maana rais wa Marekani kwa mfano, huwezi kujua idadi kamili ya walinzi wake, silaha walizo nazo, na operational methods zao nyingine.

Hii yote ni katika kutokumpa adui faida ya kujua uwezo wako.

Pili suala la ulinzi naona lina aspect mbili, ya kwanza ni physical na ya pili ni psychological mtu anayeamini analindwa hujenga confy ya kuji expose akiamini yuko covered hili kwa kesi hii ndio limemuua huyu mbunge sababu angekuwa hana walinzi angekuwa na behaviour tofauti. . . . . .

Quiete possible....

Tatu, kama ni president au PM suala ni lile lile la kuwa alidhani analindwa ila haikuwa hivyo ndio maana nikasema gari iliyosimama ni "fixed target" laiti gari ingesimama basi trained personel angeshuka japo mmoja sio kukaa ndani. . . .so psychologically alikuwa anajua na anaona akilindwa lakini physically alikuwa vulnerable and exposed asingekuwa na walinzi angeogopa labda kusimama mwenyewe kwa news vendor na ingeweza kuwa ndio salama yake. . . ,Sixth sense aliiua kwa sababu alidhani analindwa!!!

I wouldn't venture to speculate that much. But then again they say hindsight is 20/20.

Viongozi wanakufa yes ila wengi wanakufa kwa weakness ya security ring au misguided advance team, Kennedy alikuwa kwa open roof vehicle this was a total exposure na ilizua mjadala kwa detail yake. Je ni kweli alikuwa na mgogoro na IMF na WB, je haikuwa inside job??!!

Mtu akitaka kukuua na kama yeye haogopi kufa ni hatari sana. Indira Gandhi aliouliwa na mmoja wa walinzi wake. At the end of the day there is only so much that security can do. No one is 100 percent safe.

Mama yuke wa Obama kajiuzuru kwa hiari, ni kweli detail ik weak??!! Au walimihujumu kutoka ndani??!! Yule jamaa aliruka fensi kesi yake ilikuwaje White house, kikosi cha mbwa hakikuwepo??!!!

Yule mama kujiuzulu ni kwa sababu ya uwajibikaji tu lakini security detail ya Obama iko imara sana. Na licha ya hizo security breaches ulizozidokeza usalama wa Obama haukuwa hatarini hata kidogo. Kama umewahi kuwepo sehemu ambayo yupo rais wa Marekani (si Obama tu, hata Bush, Clinton, na Bush mkubwa) utanielewa ninachokisema.

They don't play when it comes to the security of their president and they have learned a great deal after the assasination of Kennedy and the attempted assasination of Reagan.

Kama kuna kitu huyo mbunge alichemka ni labda katika kutathmini uhatari wa maisha yake na hiyo ya yeye kuwa kwenye gari moja na walinzi wake wote. That wasn't smart at all (if what is being said is true).
 
Nyani Ngabu
Case ya ulinzi wa Rais level ya Obama ni mtaala wa kujitegemea kabisa kwa suala la ulinzi, wako mbali jamaa kuanzia akili, mwili, vifaaa mpaka chain of command, unit zilivyogawanyika kwa cover, evacuate and retaliate walitaka kuwa na RPG sijui wamekwamia wapi wanataka kuwa na kikosi kinachoweza ku launch vita ya ardhini . . . . . .

Egoistic assassins ni hatari sana sana ila huyu hakuwa egoistic ndio maana alikuwa masked na gari ilikuwa ikimsubiri yawezekana hata BPV alikuwa kavaa huyu angegota mikononi mwa "watu" saa hizi habari tofauti kabisa

Mama alijiuzuru sababu yawezekana her speculation or others summed up kuwa yeye atoke!! Sababu ni kuwa usalama anaousimamia ulianza kuingiliwa sio "mlindwa kafikiwa" ila ring inaanza kutoboka!!!

No one is a hunderd % safe . . . . . . Hii inaeleza sasa kuwa kufa au kuishi na suala la uko level ipi ya % katika number line!!!

Natumai wengine "wenye body guards/builders" wanaoning'inia kwenye step boards wanajifunza kwa matukio kama haya
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom