Kuna suala la supply and demand hapo sasa ndiyo suala la Serikali tena ambapo wamekosea. I hope TCU ndiyo wana approve mitaala ya kufundishwa vyuoni. Kwa course kama HRM in the past ungeikuta UDSM, Mzumbe, CBE na UDOM.
Siku hizi course kama HRM, Accounting, Business Administration utazikuta vyuo vyote mpaka Ardhi, TIA, AIA na SUA. Kwa hiyo supply ya wataalamu wa fani hizi imekuwa kubwa kuliko mahitaji. Kwa hiyo naiona kama issue ya tamaa za vyuo kuongeza udahili ili wapate mapato yatokanayo na ada