Mbunge wa Kahama Mjini ashauri Vyuo Vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili Wanafunzi

Agree totally with you. Ndiyo maana hata ile issue ya vyeti FAKE nimekuwa naiona haikuwa well handled.
 
Now you are talking and this shit needs to stop! Zamani enzi za Nyerere ni kundi maalumu tu ndio liliteuliwa kusomeshwa na serikali kwa ajili ya kuajiriwa na hakukuwa na mtu anakosa ajira!

Watu wadahiliwe number inayoweza kuajiriwa tu!
 
Acha kuni-attack bila sababu za msingi twendeni kwenye hoja na siyo hii elimu yetu ambayo haina manufaa, mimi hata hii F4 yangu failure sijaitumia hata robo kabisa.
Kusoma na kuandika ulizaliwa ukiwa unajua ?

Kutoitumia elimu yako mwenyewe ni tatizo la elimu au la kwako mwenyewe kutoelimika ?
 
Utasoma practical bila theory kile unachokisomea ?
 
Elimu inahitaji marekebisho makubwa sana@ haliwezekani mtu ana bachelor ya economics, lakini bado mia tano ya vocha inampiga chenga mpaka apige mzinga kwa mdogo wake aliyemaliza la Saba tu.
Hahahahahah we jamaa umeniua mbavu
 
Now you are talking and this shit needs to stop! Zamani enzi za Nyerere ni kundi maalumu tu ndio liliteuliwa kusomeshwa na serikali kwa ajili ya kuajiriwa na hakukuwa na mtu anakosa ajira!

Watu wadahiliwe number inayoweza kuajiriwa tu!
Kwa hoja yako hii unataka watu wasisome vyuo kwa sababu hakuna ajira ?
 
Kwa hoja yako hii unataka watu wasisome vyuo kwa sababu hakuna ajira ?
Wasome tu kama wanavyosoma ila for their personal benefits sio kutegemea ajira serikalini! Serikali iseme tu kuwa itaajiri batch maalumu ili watu wasome kwa target!
 
Wasome tu kama wanavyosoma ila for their personal benefits sio kutegemea ajira serikalini! Serikali iseme tu kuwa itaajiri batch maalumu ili watu wasome kwa target!
Kwa jibu lako hili maana yake hoja ya Kishimba ni Faulty.
 
Kwa jibu lako hili maana yake hoja ya Kishimba ni Faulty.
Haina fault yeyote! Kishimba ama mantiki kama utakuwa unafikiria in real sense zaidi ya ushabiki mandazi!

Maisha ya sasa yanahitaji pesa, tumesoma kwa uchungu ili tuajiriwe tupate pesa za kuendeleza maisha! Haiingii akilini mtu apotezw miaka mingi shule halafu lengo lisifanikiwe ni ujuha na inaifanya hio process nzima ya ku acquire elimu kuwa useless!

NB: Tumesoma ili tuajiriwe, kama lengo lilikuwa ni kuajiriwa na ajira hakuna elimu ni scam! Hamna mzazi angewekeza kwenye elimu kama angelijua kuwa mwisho mtoto hatapata ajira!
 
Mitahara iangaliwe mtu unasoma kitu kipo nje ya uwezo kiuchumi bado ukiforce mazingira utatakiwa kupata license kwa walio develop hiyo elimu. Ushauri wangu tafuta basics then develop maarifa yako
 
Unaambiwa uzoefu miaka 5 kwasababu unasoma customer care theory bila vitendo, switch board na kutransfer simu theory, na ndo maana muda unakuwa mrefu Ili ukariri, lakini maana ya chuo ni mafunzo kwa undani hivyo kinachotakiwa nikuanza upya Kama ni hiyo procurement inadili na mambo ya store na manunuzi basi somo lake liwe kwa vitendo kwa kuweka store na maduka then wafanye kwa vitendo kukaa store kupanga njia zinazotumika kununua na kutunza na kutoa vitu yaani hata hiyo miezi minane ni Mingi kwa huyo mtu kupata hiyo degree ya procurement, twende HR hivyo hivyo vyumba vya kufundishia HR vinakuwa vinadili na wafanyakazi kutengeneza likizo, na benefits zingine na kutengeneza documents kwenye computer za usimamamizi wa wafanyakazi na procedure za kufata kusimamia Sheria za kazi sasa nini kitashindikana kutumia muda mfupi mpaka mtu alazimishe muda mrefu chuo Kama vile dakitari anayejifunza kutibu mtu hivyo muda wake utakuwa mrefu maana anashughulika na kuokoa uhai.
 
Hivi huyu kishimba ndo yule yule tajiri wa mwanza miaka ya 90 mpaka 2000 mwanzoni, alikua na ghorofa lake mjini pale pembeni ya shule ya secondary ya pamba?
 
Hivi huyu kishimba ndo yule yule tajiri wa mwanza miaka ya 90 mpaka 2000 mwanzoni, alikua na ghorofa lake mjini pale pembeni ya shule ya secondary ya pamba?
Ndiyo huyo huyo
 
Mkuu Huihui2 ,pamoja na maovu yake yote, hoja yake ni ya msingi.
 
Siyo LA saba, hata LA kwanza hajasoma kabisa
Kasoma ukubwani mpaka kiwango cha degree ila vyeti ndo hana
 
Mtu ambae hakusoma, hawezi kuisemea vizuri elimu, msukuma na huyu jamaa ni bangi tu inawasumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…