Mbunge wa Kahama Mjini(CCM), Jumanne Kishimba ashauri Serikali kuanzisha chuo cha wizi

Mbunge wa Kahama Mjini(CCM), Jumanne Kishimba ashauri Serikali kuanzisha chuo cha wizi

Mbunge wa Kahama Mjini kupitia CCM Jumanne Kishimba, ameiomba Serikali ifungue chuo cha wizi kwa kuwa matukio ya wizi katika sekta za umma na Halmashauri nyingi umeshamiri kwa kiasi kikubwa na kwamba chuo hicho kitasaidia wale watu wanaoenda kuchunguza wezi, kuzijua mbinu zao na kuwabaini.

Hayo ameyabainisha leo Mei 28, 2020, Jijini Dodoma wakati wa mkutano wa 19, kikao cha 39, wakati wa uchangiaji wa hoja ya Kamati ya Kudumu ya Huduma za Serikali za Mitaa, na kueleza kuwa ni vyema chuo hicho kikawekwa japo kwa kutumia jina lingine ili kukomesha suala hilo.

"CAG na Waziri wa Fedha yuko hapa hawa vijana wanaoajiriwa lazima wanatoka shule inayofundisha maadili mema na uaminifu, sasa wanaenda kupambana na wizi wengine wamesoma Seminari, kwanini serikali haifikirii sasa kuanzisha chuo cha wizi, kwa maana mtu anapochaguliwa kwa sifa ya uaminifu kwenda kupambana na wezi anaenda kupambana nao namna gani? afadhali apite kwenye chuo hicho kwa miezi mitatu ili ajue akili ya wizi, hawa vijana wetu tutawamalizia magerezani na hali ya wizi ni mbaya sana" amesema Mbunge Kishimba.

Credit: EATV

Mwaka jana, Kishimba alitaka kilimo cha bangi kihalalishwe nchini Tanzania Mbunge Jumanne Kishimba (CCM) ataka kilimo cha bangi kuhalalishwa nchini Tanzania

Maoni Yangu
Kumbukeni huyo mbunge alishawahi kuomba Serikali iruhusu bangi itumike kihalali.

Daaaa hao ndiyo wabunge wetu ambao ni watunga sheria na wapitisha miswaada na mikataba mbali mbali.

Kama taifa bado tuna safari ndefu.

Ni ngumu sana kwa bavicha ku-decode ujumbe. Mnauchukua kqma ulivyo!
 
Nawahurumia wananchi wake.

Sisi wananchi wake tunamuelewa sanaaa japo huwa hatumtumi kusema hivyo Bali ni maoni na uzoefu wake binafsi.
Suala la bangi sisi wananchi tunamuunga mkono jamaa aliongea uhalisia. Hata gongo pia, na la wazazi yuko sawa tu maana nyie vijana mkienda mjini mnafanya besdei tu mnasahau wazazi waliowasomesha kwa kumaliza rasilimali zao.
 
Bila wabunge kama huyo ccm leo tungekuwa tunaisoma kwenye magazeti tu
Mmawia nitarudia tena , pata muda uongee nae Kishimba kwa lugha yeyote ama Kiswahili ama Kiingereza , naamini utastaajabu.

Nilipo fuatilia nilifanikiwa kufahamu siri ya UREMBO, Kwanza ni mmoja kati ya wafanya biashara ambao hawaogopi wasomi. Aliamua kutumia wasomi na kuwalipa vizuri sana tangu mwaka1992, Ameshirikiana na wafanyabiashara wakubwa wenye kutengeneza bidha ndani na nje ya nchi. Na wafanya biashara wote wakubwa unao wafahamu kama Mohamed Enterprises tangu baba yake MO Mzee Gulam Dewji mpaka mo, Bakhresa na wafanya biashara wote notable yeye ni marafiki zake.

Wataalam ambao unawafahamu ambao yawezekana wewe unawaheshimu Kishimba hukaa nao karibu mara kwa mara na kwa muda mrefu. Kama huna Elimu labda uwe ndugu yake , kinyume chake hawezi kukuajiri. Atakuajiri tuu utakapo kuwa na sifa ya kishindo bila kuogopa atakulipa kiasi gani.

Na akijua unakitu cha kuchangia haogopi hata mpo kwenye Hotel atakualika na mkikubaliana atakupa ajira,

Rais mstaafu Mze Mkapa huwa hana ushirikiano na mtu yeyote njinga na hii take it to the Bank . Na huwa hafichi hata muwe 100 kama wewe mjinga au hakutaki Mzee Mkapa atakuambia na atakufukuza.

Lakini wameweza kuendesha LAMADA HOTELS na muendeshaji ni Kishimba, kwa hilo tuu sio sifa ya kubeza.

ANAUWEZO MKUBWA KIBIASHARA NA UFAHAMU KWA UJUMLA ILA SISI WATANZANIA HATUJA UTAMBUA. NI KAMA MHE. MBOWE, KUNA UFAHAMU FULANI MBOWE ANAO LAKINI MPAKA MKUTANE KWENYE SHUGULI NDIO UTAFAMU ZERO YA FORM SIX YA MBOWE SIO KIPIMO HALISI CHA UFAHAMU WAKE.
 
Kwani zero ya mh Mbowe ndiyo ya kwanza kutokea kwa viongozi wetu hapa Tanzania?
Mmawia nitarudia tena , pata muda uongee nae Kishimba kwa lugha yeyote ama Kiswahili ama Kiingereza , naamini utastaajabu.

Nilipo fuatilia nilifanikiwa kufahamu siri ya REMBO, Kwanza ni mija kati ya wafanya biashara ambao hawaogopi wasomi. Aliamua kutumia wasomi na kuwalipa vizuri sana tangu mwaka1992, Ameshirikiana na wafanyabiashara wakubwa wenye kutengeneza bidha ndani na nje ya nchi. Na wafanya biashara wote wakubwa unao wafahamu kama Mohamed Enterprises tangu baba yake MO Mzee Gulam Dewji mpaka mo, Bakhresa na wafanya biashara wote notable yeye ni marafiki zake.

Wataalam ambao unawafahamu ambao yawezekana wewe unawaheshimu Kishimba hukaa nao karibu mara kwa mara na kwa muda mrefu. Kama huna Elim labda uwe ndugu yake , kinyume chake hawezi kukuajiri. Atakuajiri tuu utakapo kuwa na sifa ya kishindo bila kuogopa atakulipa kiasi gani.

Na akijua unakitu cha kuchangia haogopi hata mpo kwenye Hotel atakualika na mkikubaliana atakupa ajira,

Rais mstaafu Mze Mkapa huwa hana ushirikiano na mtuu yeyote njinga na hii take it to the Bank . Na huwa hafichi hata muwe 100 kama wewe mjinga au hakutaki Mzee Mkapa atakuambia na atakufukuza.

Lakini wameweza kuendesha LAMADA HOTELS na muendeshaji ni Kishimba, kwa hilo tuu sio sifa ya kubeza.

ANAUWEZO MKUBWA KIBIASHARA NA UFAHAMU KWA UJUMLA ILA SISI WATANZANIA HATUJA UTAMBUA. NI KAMA MHE. MBOWE, KUNA UFAHAMU FULANI MBOWE ANAO LAKINI MPAKA MKUTANE KWENYE SHUGULI NDIO UTAFAMU ZERO YA FORM SIX YA MBOWE SIO KIPIMO HALISI CHA UFAHAMU WAKE.
 
Hii inaitwa... UKIPENDA CHONGO UITA KENGEZA...
Sisi wananchi wake tunamuelewa sanaaa japo huwa hatumtumi kusema hivyo Bali ni maoni na uzoefu wake binafsi.
Suala la bangi sisi wananchi tunamuunga mkono jamaa aliongea uhalisia. Hata gongo pia, na la wazazi yuko sawa tu maana nyie vijana mkienda mjini mnafanya besdei tu mnasahau wazazi waliowasomesha kwa kumaliza rasilimali zao.
 
Wachangiaji wengi wanakubaliana na hoja ya Mzee Kishimba. Mimi pia nakubaliana naye! Ushauri wangu ni kuwa, kabla ya kuwasilisha hoja zake bungeni, awe anawapa wataalamu waifafanue ili hadhira iweze kutafsiri hoja yake kama alivyokusudia.

Tunaishi kwenye dunia ambayo mambo mengi yamerahishishwa. Kila kukicha wataalamu wanatafuta ufumbuzi wa namna ya kurahisha mambo ili yatumike kirahisi.

Inawezekana Mzee Kishimba ana IQ kubwa kiasi kwamba anavyoongeq tunashindwa kumuelewa. (Kama ilivyokuwa kwa Yesu na wanafunzi wake?) Au uvivu wetu wa kufikiri unatufanya tusimuelewe Mzee Kishimba?
 
Husilazimishe kupenda na kupongeza upuuzi
Umelazimisha na nani? Unawajibika wewe mwenyewe na uelewa wako, hamna wa kukubeba! Umetafsiri maneno kama yalivyo na ndivyo ulivyo elewa, period
 
Taifa kumekuwa na watu wanunda kisa nyinyi mnacho simamia hamkijui
Umelazimisha na nani? Unawajibika wewe mwenyewe na uelewa wako, hamna wa kukubeba! Umetafsiri maneno kama yalivyo na ndivyo ulivyo elewa, period
 
Mbunge wa Kahama Mjini kupitia CCM Jumanne Kishimba, ameiomba Serikali ifungue chuo cha wizi kwa kuwa matukio ya wizi katika sekta za umma na Halmashauri nyingi umeshamiri kwa kiasi kikubwa na kwamba chuo hicho kitasaidia wale watu wanaoenda kuchunguza wezi, kuzijua mbinu zao na kuwabaini.

Hayo ameyabainisha leo Mei 28, 2020, Jijini Dodoma wakati wa mkutano wa 19, kikao cha 39, wakati wa uchangiaji wa hoja ya Kamati ya Kudumu ya Huduma za Serikali za Mitaa, na kueleza kuwa ni vyema chuo hicho kikawekwa japo kwa kutumia jina lingine ili kukomesha suala hilo.

"CAG na Waziri wa Fedha yuko hapa hawa vijana wanaoajiriwa lazima wanatoka shule inayofundisha maadili mema na uaminifu, sasa wanaenda kupambana na wizi wengine wamesoma Seminari, kwanini serikali haifikirii sasa kuanzisha chuo cha wizi, kwa maana mtu anapochaguliwa kwa sifa ya uaminifu kwenda kupambana na wezi anaenda kupambana nao namna gani? afadhali apite kwenye chuo hicho kwa miezi mitatu ili ajue akili ya wizi, hawa vijana wetu tutawamalizia magerezani na hali ya wizi ni mbaya sana" amesema Mbunge Kishimba.

Credit: EATV

Mwaka jana, Kishimba alitaka kilimo cha bangi kihalalishwe nchini Tanzania Mbunge Jumanne Kishimba (CCM) ataka kilimo cha bangi kuhalalishwa nchini Tanzania

Maoni Yangu
Kumbukeni huyo mbunge alishawahi kuomba Serikali iruhusu bangi itumike kihalali.

Daaaa hao ndiyo wabunge wetu ambao ni watunga sheria na wapitisha miswaada na mikataba mbali mbali.

Kama taifa bado tuna safari ndefu.

Huyu Kishimba sijui anataka chuo gani tena cha uwizi wakati ccm ndo chuo chenyewe kuhusu hizo mambo
 
Huyu mzee anapoint nzuri sana. Jambo lingine ambalo lilipata kunisikitisha na ambalo linapoteza tena muda zaidi ni kwa yule mtu mwenye diploma anataka aongeze elimu awe na degree. Sasa jiulize mtu kasoma mpaka kafika form six bahati mbaya akapata division 2 or 3 ikambidi asomee diploma kwa miaka mitatu then akaamua asomee degree yaan anaanza tena moja na mtu ambaye ndio katoka form six fresh na anasoma naye tena miaka sawa ya degree as if hana utofauti naye kabisa. Kwanza lazma serekali na wataalamu walio vyuoni wajue masomo ya diploma kwenye coz fulani yanaendana kwa kiasi kikubwa na masomo ya degree kwa kwenye coz hiyohiyo why Sasa mtu aliyekwisha kusoma diploma asipunguziwe muda wa kusoma degree badala ya miaka minne iwe hata miaka miwili au miwili na nusu kiliko kusoma minne full sawa na form six fresh?
 
Back
Top Bottom