Mbunge wa Kahama mjini ndugu Kishimba ahudhuria mkutano wa Tundu Lissu (CHADEMA) uliofanyika kata ya Isaka

J4 hanaga neno bungeni anatoa point san sema ndo analazimika kupiga meza makofi maana chama ndio kinamtaka afanye hivyo!!
 
Toka lini ukawa na akili ndio maana magufuli alisema wewe ni njaa kisukuma nzala au nhubha.
1. Kwanza sio Msukuma OG hivyo hajui...
2. Mayalla sio njaa ya nzala, ni baa la njaa ya ukame, drought, famine!.
3. Akili has got nothing to do with njaa!.
P
 
Sii kweli DPW hawajapewa Bandari hata moja1. Watapewa gati 3 tuu za container terminals za Bandari ya Dar

Asante kwa taarifa hii, tunasubiria video
kuona ni kuamini!.
P
Ww hamna kitu bro, ww ni namba ya kupoteza. Unacheza na upepo wala huna unachosimamia.
 
Weka pc
 
Na alikuwa anatikisa kichwa kwa hoja alizokuwa anashuka nazo TL kuashiria kuwa anakubaliana naye
 
Wengi wanaikubali CHADEMA cheki tabasamu la mtanzania ambaye ni Dar es Salaam Special Zone RPC, ACP Jumanne Muliro akifuatilia nondo za ukweli. Siasa siyo uadui bali ni kukubaliana na hoja sahihi au kukubaliana kutofautiana bila kuweka uadui.

 
Kuhudhuria mikutano wa siasa sio kosa.Ndio demokrasia yenyewe🤣🤣🪑
Hakuna aliyesema ni kosa. Hata Mimi sijasema kuwa ni kosa..

Nilichosema mimi ni hiki "NI AJABU NA KWELI" kuwa mbunge wa CCM badala kuwa kwenye mikutano ya chama chake kama yule wa Geita Vijijini aitwaye Kasheku Msukuma kutetea mkataba wa bandari, ameamua kuja kusikiliza nondo za Tundu Lissu na CHADEMA kupata elimu ya Uraia na kisheria kuhusu mkataba wa bandari..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…