Mbunge wa Karagwe aomba Rais Magufuli alipopigia push up ujengwe uwanja wa kumbukumbu!

Mkuu ungetuwekea na ka VIDEO KIDOGO...maana nyie kwa MAJUNGU HAMJAMBO
 
Kwa hiyo Geita Stand nako kujengwe uwanja wa kumbukumbu ya mzee.

Ndiyo democracy,kuwa tayari kusikia kile unachokiona ni upuuzi.
 
Hivi hawa wabunge wa CCM wana shida gani kichwani mwao?
 
Nashauri itenezwe sanamu yake ili hata vizazi vije vione rais wao alivyoomba kura mwaka 2015
 
Safi sana huo uwanja lazma ujengwe, sasa nyie si mulikua mnazungusha mikono na viuno
 

Dah kweli ndiyo maana Kagera ni moja ya mikoa masikini kabisa Tanzania. Mkoa umetoka kuwa wenye kuzalisha wasomi wa hali juu mpaka kuwa mkoa wa kuzalisha wajinga na masikini. Haishangazi ndiyo maana wamemchagua huyu kuwa mbunge wao. Wazee wao watakuwa wanashtuka ndani ya makaburi yao wakisikia ujinga aliozungumza huyu mbunge
 
Huyo mbunge hajala senene.
 
Sanamu ya diamond,sanamu ya push up waongeze na sanamu ya makonda akitafuta sukari hewa
Hao ni wabunge toka Cha Cha Mwendokasi, Chama Cha Majipu, Chama Cha Mizigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…