Mbunge wa Kasulu mjini Moses Machalli avamiwa na kupigwa na watu wasiojulikana!

Mbunge wa Kasulu mjini Moses Machalli avamiwa na kupigwa na watu wasiojulikana!

PRAYER FOR OUR COUNTRY

Almighty God, bless our nation and make it true to the ideas of freedom and justice and brotherhood for all who make it great.

Guard us from war, from fire and wind, from compromise, fear, confusion.

Be close to our president and our statesmen; give them vision and courage, as they ponder decisions affecting peace
and the future of the world.

Make me more deeply aware of my heritage; realizing not only my rights but also my duties and responsibilities as a citizen.

Make this great land and all its people know clearly Your will, that they may fulfill the destiny ordained for us
in the salvation of the nations, and the restoring of all things in Christ.

Amen

Source:Catholic Doors Ministry
 
Jamani haya sasa ni zaidi ya majanga labda tuseme maajabu nane ya dunia ambayo ccm inafanyia watz hakika ccm ikifa isizikwe bali ichomwe moto.
 
Haya ndo maagizo yaliyotolewa na pinda.kazi inaanza polepole.maisha ya viongozi wa upinzani kwa sasa yapo hatarini kuliko wakati mwingine wowote ule.Nawashauri viongozi wote wa upinzani wasitembee bila ulinzi popote wanakokwenda.Pole mh. M.Machali.
 
hii sasa hatari....kila mtu ni amiri jeshi, kila mtu anatembeaa na dola...hii ni dalili mbaya kwa serikali hii iliyo usingizini
 
hii nchi ilikofika pabaya,ni mwendo wa liwalo na liwe dah hatalee
 
Mugulu njemba na Chaguo-njaaa watatumaliza watanganyika!
 
Nalaani sana kitendo hicho. Ilikuwa tindikali ikaja sumu ikaenda mabomu sasa ngumi, haya bana tumalizeni
 
Alitofautiana na yule demu wa JK Janeth Mbena inasemakana JK hakufuraishwa akamtuma Igondhu
 
PRAYER FOR OUR COUNTRY

Almighty God, bless our nation and make it true to the ideas of freedom and justice and brotherhood for all who make it great.

Guard us from war, from fire and wind, from compromise, fear, confusion.

Be close to our president and our statesmen; give them vision and courage, as they ponder decisions affecting peace
and the future of the world.

Make me more deeply aware of my heritage; realizing not only my rights but also my duties and responsibilities as a citizen.

Make this great land and all its people know clearly Your will, that they may fulfill the destiny ordained for us
in the salvation of the nations, and the restoring of all things in Christ.

Amen

Source:Catholic Doors Ministry

amen.!
 
PINDA amesha sema ukikaidi upigwe, wanatekeleza amri ya mkuu
 
Tusubiri nae Macahali atatoa ushaidi wake wa mkanda wa video. CCM in ICU.
 
Back
Top Bottom