Agizo la Mheshimiwa Waziri Mkuu ndo limeanza kutekelezwa leo ni tena kwa wabunge sasa. Mimi kwa kweli naona Waziri mkuu amepotoka na kupotosha. Alichotengeneza ni kuchonganisha Raia na polisi kwa hiyo Raia wanajua polisi adui zao and vice versa sasa na raia wanaweza kuanza kujihami kila wakati dhidi ya police. Unajua Tatizo linatatuliwa kwa kuangalia root cause na kuitibu na siyo kudeal na Impact.