Mkuu utapata wapi huo mwanya yanalindwa hayo siunajua tena madharimu hawajiamini popote na ikumbukaga tu ile ya Udom kumteka pinda maspy wakampitsha vichakaniKwanini hawakumpiga PINDA NA LUKUVI? Plz wana Dom nitandikieni hao viumbe.
Subirini vijana wa Lumumba watasema ni Chadema hao
jaribu kuiweka sentensi yako vizuri mkuu! Karibu sana JF.Kwa dizaini hali si shwari nchini
Viijana wa mwigulu