Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima ataka Masheikh wa Uamsho waachiwe na Sheria za uhujumu uchumi zirekebishwe

Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima ataka Masheikh wa Uamsho waachiwe na Sheria za uhujumu uchumi zirekebishwe

Heri hao mashehe waachiwe afungwe yeye kwa utapeli na uhujumu wa watu maskini unaomfanya awe maarufu na tajiri. Gwajima, Mungu anakuona.
 
Mimi siongezi neno hapa

Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amelishauri Bunge kuwa Sheria kandamizi zilizotungwa mwaka 2019 ikiwemo Sheria ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha zifanyiwe Marekebisho kwani kuna Maelfu ya watu Wamebambikiwa kesi hizo mpaka sasa Wanasota Mahabusu bila kujua hatma yao...
Hapa hata akisema ye ni mtumishi wa Mungu, tunaweza kuamini sasa...

Kaongea vyema sana nafkri kasoma version ya bible nzuri
 
Mbona hasemi kuhusu walea mapadri waliopogwa na kumwagiwa timdikali na kupata ulemavu wao so watanzania kweli kinyonga katika ubora wake. Kama yeye ni bora amfufue mwendazake au nguvu zimwishia
 
Gwajima muongo hilo la masheikh anapitia tu yeye anahaha kumpigania mfadhiri wake Joseph Rwegasira ,Diwani wa makongo aliyeko mahabusu kwa utakatishaji , Rwegasira amefanya ufisadi mkubwa ktk kampuni ya vinywaji BEVCO na alijaribu kutoroka TAKUKURU wakamkamatia Shinyanga
 
Gwajima muongo hilo la masheikh anapitia tu yeye anahaha kumpigania mfadhiri wake Joseph Rwegasira ,Diwani wa makongo aliyeko mahabusu kwa utakatishaji , Rwegasira amefanya ufisadi mkubwa ktk kampuni ya vinywaji BEVCO na alijaribu kutoroka TAKUKURU wakamkamatia Shinyanga
Aiseee
 
Rashid Anapiga Counter Attack Langoni Kwa Ccm
Goalkeeper Autema Ule Mpira Ila Rashid Anapiga Tena 👄
 
Kama namuona vile JPM huko alipo "anavyoshangaa".......... ni wale wale au wameunga mkono m4c ya chadema?

But masihara pembeni, alichoongea Gwajima ni kitu cha maana. Sio fair kwa kiwango chochote kile kumuweka mtu mahabusu kwa miaka 9....na mingi katika hiyo hata hawakujua makosa wanayoshitakiwa nayo!
 
Mimi siongezi neno hapa

Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amelishauri Bunge kuwa Sheria kandamizi zilizotungwa mwaka 2019 ikiwemo Sheria ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha zifanyiwe Marekebisho kwani kuna Maelfu ya watu Wamebambikiwa kesi hizo mpaka sasa Wanasota Mahabusu bila kujua hatma yao.

Aidha, Gwajima amesema haoni sababu ya Masheikh wa UAMSHO kuendelea kusota Mahabusu kwa miaka 9 bila kujua hatma yao

"Kuna Masheikh wa Uamsho wapo Mahabusu mwaka wa 9 sasa, hebu imagine ni Baba yako anasota Mahabusu kwa miaka 9 bila kujua atahukumiwa lini na vipi ikibainika hawana hatia mtawalipa nini?. Simaanishi hawana hatia au wanayo nashauri ni vyema wahukumiwe wajue moja.

Arusha kuna Masheikh 64 wanasota Mahabusu kwa kesi ya Ugaidi, najiuliza hivi hii nchi Magaidi ni Masheikh tu Hakuna watu wengine"Josephat Gwajima.

Ahsante Gwajima kwa kuliona hili.
Masheikh, kukaa magereza kwa miaka 9, mama SAMIA suluhu na kasim Majaliwa walikuwa wapi?
 
Gwajima mara hii kasha sahau viongozi wenzake (wakristo) waliokuwa wakipigwa risasi, makanisa kuchomwa na kutupiwa mabomu Zanzibar, Arusha, Dar, Kagera, nakadhalika
Labda rudia historia vizuri zote ya Zanzibar na uislamu kwa ujumla. Makanisa au wakristo Zanzibar ni minority, lakini miaka yote wamekuwa wakifanya shughuli zao bila shida yoyote. Hii sio bahati mbaya, ni maelekezo ya dini yenyewe.

Hii inakwendana na ile hoja kama jews walioshi chini ya nchi za kiislamu, waliweza kunawiri na kubakia na tamaduni zao.Tofauti na jews ambao waliishi kwenye nchi za kikisto, walikumbana na genocide na wengi kupoteza tamaduni zao.

Tusiwe kama wapuuzi puuzi, masheikh hawajahi kuchochea kuchomwa kanisa wala kufanya ugaidi wowote. Nadhani isingekuwa miaka 9 kutafuta ushahidi kama walikuwa wakihubiri vurugu au ugaidi. Kosa letu waswahili hatuna tamaduni za kukabiliana na criticism/mawazo kinzani. Masheikh waligusa suala tukufu la muungano na madikteta wakaamua kuwapotezea jela. Its not fair and really heart breaking to get this low as a nation!
 
Hizi ndio shida za kutumikia mabwana wawili,
Huyu Gwajima tangu ajiingize kwwnye siasa amekua mtetezi wa waisilamu na mashehe sana, hata salamu za kidini anaanza na asaamu alaykum mradi tu kuwafurahisha waisilamu,
Kama ameamua kumtumikia Mungu asimame kwenye nafasi yake kwani dunia yote inajua kua yeye ni mkritu na ni mchungaji!
 
Mnafiki utamjua tu
Huyu ndio aliekuwa anaukashifu Uislam na kusema wageuze Madrasa ziwe Sunday Schools au mmesahau
Gwaji boy naona kwa unafiki huo hata ukiambiwa utakuwa waziri badili dini Utabadili kinafiki ila upate unachotaka
 
Back
Top Bottom